Mama Janeth Magufuli, shikamoo!

Mama Janeth Magufuli, shikamoo!

Huyu mama ana siri nyingi moyoni mwake, kushare mume na mdogo wako sio kitu kirahisi
Id imejiunga July 2019 ndio maana,iko kwa kazi maalum,japo wewe ni mkongwe hapa jukwaani.
Hivi tunu ni vocha tu mpunga wote ule?,ningekua mimi sikubali
 
Eti kashindwa kabisa kuanzisha WAMA yake,hopeless,mlivyopiga zile mlitegemea na huyu mtapiga?
anakwama sana aisee yaan anataka atoke kama alivyoingia?
Ajifunze kwa kina Salima, Anna, Hillary Clinton, Dlamini zuma, Laura Bush na Michelle Obama
 
Huyu mama ana siri nyingi moyoni mwake, kushare mume na mdogo wako sio kitu kirahisi
Ayi! Ayi! Ayi! Mumefika huko? Kwani kalalamika? Hiyo si in heshima kwa ukoo aliotokea kwamba wako bomba!
 
Mtoto wa Police Sgt. Kazakiwa kambini. Heshima mtindo mmoja

Huyo alikuwa askari wa kipekee; kawaida watoto wanaokulia police line ni maumivu ya kichwa. Wapo wengi walioweza kuingia jeshi la Polisi na ndiyo changamoto mojawapo iliyopo kwenye jeshi hilo.
 
Hivi kwan ni kabila gan huyu mama?amezubaa..hachangamkii fursa...! mie ningekuwa first lady muda huu ningekuwa na Kampuni inayoeleweka Dubei huko!
Mama yetu ni mcha Mungu, sio mtu wa anasa na tamaa za kishetani.
Upole wake, unyenyekevu, uvumilivu vimemnyanyua na kumpatia heshima na hadhi kuliko hata akimiliki hazina yote ya nchi.
Hongera sana mama yetu, wewe ni mfano halisi kwa wote wanaopaswa kua wake wema.

Maendereo hayana chama.
manengelo jana nmeota mduara umetema, ukanipa oder ya kukuangizia Rangerover from UK.
 
She is very bright
Na anezaliwa na kukulia mjini Dar es salama na wala hajionyeshi km mtoto wa mjini

Ingekuwa dunganyembe lingine limeolewa na jpm na limekulia hapa mjini
Tungeona kila rangi ikulu
Amekulia kwenye makamba ya polisi, baba yake alikuwa askari polisi wa cheo vya nchini kama ujuavyo watoto wa makambini enzo hizo miaka ya 60&70.
Angekuwa siku hizi kweli angekuwa mtoto wa mjini lakini enzi hizo no. ni watoto waliokuwa wanadharaulika mbele ya watoto wenzao
 
Mama Janeth; unawapenda wazee na wasiojiweza hongera sana, humo kuna siri kubwa ya baraka na mafanikio, Baba ana kazi nyingi za kulikwamua Taifa anaweza asiyakumbuke yote. anao mawaziri wanaomsaidia lakini nao hawawezi kuyakumbuka yote. anapokuwa amepumzika mkumbushe hili

wazee ambao tumetumika kujenga Taifa hili tena wakati ule wa hali ngumu tulikuwa wazalendo hatukuhujumu wala kuiba, hatukuweka akiba na Mungu ametupa kibali bado tunaishi.

Tumestaafu kwa mujibu, lakini wengi wetu tulimaliza utumishi kwa kiwango kidogo cha mshahara na pensheni tunayolipwa ni ndogo sana, mfano laki moja kwa mwezi haitoshi maisha yamebadilika sana.
Kwamba mlifanya kazi kwa bidii na 'hamkuhujumu' taifa lakini mnaishi kwa shida, mbona Ulaya pia kuna wazee waliofanya kazi kwa uaminifu na bidii lakini wanafurahia pensheni zao!?
Hoja yangu hapa ni kuwa huenda mlikuwa kazini lakini hamkutimiza wajibu sawasawa na ndio maana either kwa woga au kutokujua mkatuaachia nchi masikini na sheria mbovu za pensheni ambazo mwishowe zinakuja kuwatesa nyinyi wenyewe.
Sisi wazee wetu nao wana shida lakini tofauti na nyinyi wenyewe hata hiyo pensheni hawana na ni waungwana maana hawalalamiki na kulialia kwa yeyote bali kwa Mungu wao.
Kwa maana hiyo hii ni staili kama ya kumuomba Mungu/Yesu kwa kupitia Mama Maria!?
 
She is very bright
Na anezaliwa na kukulia mjini Dar es salama na wala hajionyeshi km mtoto wa mjini

Ingekuwa dunganyembe lingine limeolewa na jpm na limekulia hapa mjini
Tungeona kila rangi ikulu
Angekuwa bright mpaka leo asingekuwa anafundisha primary wenzake alisema nao mwalimu wamejiendeleza kimasomo wengine waratibu wa elimu wengine anafundisha secondary wamefanya mitihani na kujisomea
 
1śt lady hivi angekuwa mama Junior(Josephine)....Najaribu kuwaza kwa sauti,
 
Mama Janeth; unawapenda wazee na wasiojiweza hongera sana, humo kuna siri kubwa ya baraka na mafanikio, Baba ana kazi nyingi za kulikwamua Taifa anaweza asiyakumbuke yote. anao mawaziri wanaomsaidia lakini nao hawawezi kuyakumbuka yote. anapokuwa amepumzika mkumbushe hili

wazee ambao tumetumika kujenga Taifa hili tena wakati ule wa hali ngumu tulikuwa wazalendo hatukuhujumu wala kuiba, hatukuweka akiba na Mungu ametupa kibali bado tunaishi.

Tumestaafu kwa mujibu, lakini wengi wetu tulimaliza utumishi kwa kiwango kidogo cha mshahara na pensheni tunayolipwa ni ndogo sana, mfano laki moja kwa mwezi haitoshi maisha yamebadilika sana.
Huyu mama kwa unyenyekevu na upole wake anafanana sana na Mama Maria Nyerere. Hana makuu kabisa our First Lady.
 
Back
Top Bottom