Mama chakula bora

Yona F. Maro

R I P
Nov 2, 2006
4,202
218
[media]http://www.likembe.net/Sounds/Mama%20Chakula%20Bora%20-%20Mbaraka%20Mwinshehe.mp3[/media]
FOR YOU NAIMA
 
Thanks big guy for the dedication.. unfortunately i havent been able to listen to it as my connection's so bad ... however will try all the same.

Thanks buddy
 
Shy sweetheart ... if you really want me to listen to that piece you will have to write me the mashahiri i have been battling all day long but cant get it to play

please right for me whatever is in there except for the beats
 
Mbaraka mwishehe...

Wimbo wake ule wa chakula bora..anataja aina za vyakula...mut ni afya..kwa kila binadamu,

Aina za chakula ziko tatu...sasa hizi lyrics zitapatikana wapi....wimbo huu nadhani utakuwa ni wa miaka ya zamani sana....

Ila its all about that.
 
Haika wangu sikuoni Nani kakuchukua ?
Haika wangu Njoo moyo wangu upate Kupoa
Haika nakupenda Toka zamani wewe ni murua
Haika wangu mleteni , Mliyemchukuwa

Harufu yake nasikia , Machoni simwoni
Haika wangu nakupenda kwa Umbo Lako bila Soni
 
naima kakughilibu, hadi umenihaini
tungo haziishi hamu, kila siku natamani
natuma sala kwa mungu, kuniliwaza usikome
niko hapa Shai wangu, we ndio huonekani
 
Mara nyingi husikia, kuwa Haya Mapenzi
Hayana mtu mmoja, ambaye ni yake kweli
Na wengine hutetea, yana wenyewe asili
Ndipo Nauliza Mapenzi, ni ya watu gani?
 
Kuchagua mmoja siwezi wote mwafanana , yeye anavutia nawe wavutia , wewe mrembo nae mrembo ,wote mnabusara sijui nichague nani labda sanda matata akija anichagulie .

Unaniweka matatani unaponiambia nichague mmoja kwa kweli , huku afrika si watu wanaruhusiwa kuowa wake zaidi ya mmoja ? Basi nawachagua wote
 
mapenzi ni kama yetu, yamejengwa na ukweli,
ukisema huna kitu, Shai mimi sina swali,
nikiita njoo huku, waja pasi pingamizi,
samahani jadi kwetu, hutoka ndani moyoni.

mapenzi ni kama yetu, yamejengwa na ukweli,
sina yoyote sababu, kuacha kukuamini,

mapenzi ni kama yetu, yamejengwa na ukweli,
mezani karata zetu, twaziona wewe nami.
 
aaah Haika mapenzi gani hayo ya uke wenza si ya ukweli hata kidogo ... mm siyataki kamwe .. akisema hana ujue kaniletea mimi ... ama utakuwa na wasi tu kwamba kaniletea mimi hata akituweka nyumba moja vyumba mbali mbali .. mimi hii ni sababu tosha ya kumuacha

Haika nimesamehe ... kwani na mashairi sijui ... Shy talaka yangu naisubiri kwetu
 
uke wenza poa kama hanifichi na kawa wazi toka mwanzo.
tazizo ni pale atakapotaka wa tatu. Sijui atajipangaje masikini.
Naima usimuache Shy atakufa kwa presha hatutamuona JF tena
 
Hivi Haika
penzi,mapenzi ni nini?
raha ya kuishi bila mimi,utapenda
utamudu kuwa mwenyewe?
 
Haika wangu sikuoni Nani kakuchukua ?
Haika wangu Njoo moyo wangu upate Kupoa
Haika nakupenda Toka zamani wewe ni murua
Haika wangu mleteni , Mliyemchukuwa

Harufu yake nasikia , Machoni simwoni
Haika wangu nakupenda kwa Umbo Lako bila Soni
...I like it Shy ingawa hakuna vina wala mizani....Kanyaga twende!!!!!
 
Yaani huo wimbo umenikumbusha mbali kweli....nilikuwa mdogo...ingawa ni "dedicated to Naima"......lakini Asante Shy...kwa kumbukumbu.....
 
Back
Top Bottom