Mama Anne Kilango na Ajira za Emirates

Mama Anne Kilango na Ajira za Emirates

Yar ni kweli Mkuu Ritz,hasa pale NSSF kwa Ndg Ramadhan Dau na Universty Of Dodoma(UDOM).

Anne Kilango Malecela anasumbuliwa NA USHAMBA NA ULIMBUKENI. Msomi mwenye akili timamu hawezi kutaja seat number. ILI iweje? Anapanda First Class Kama mke wa Mstaafu Waziri Mkuu. Sasa kuropoka Bungeni ILI iweje. Hata YEYE mwenyewe angeweza kununua ticket hiyo ni maamuzi tu. Ile iliyokuwa biashara yake ya KUPIKA NA KUUZA CHAKULA - MAMA NTILIE PALE KINONDONI BAFRA. Ingeweza kumuwezesha kupanda seat namba One First Class. Not big issue.
 
Anne Kilango anailalamikia Emirates kuwapa ajira Watanzania. Ajira zenyewe za Tanzania zinatolewa kwa udini.

Mdini mkubwa wee, huna unachokijua ila kuwagawa Watanzania kwa kutumia udini na kuandika ----- wako kuhusu magamba. Akipata kazi Mkristo, Pagani au Muislamu lakini bado ni Mtanzania tu. Acha ujuha wako na ubaguzi.
 
nilishangaa niliposoma comment yako ya kwanza nikajua siku hz unajitambua kumbe.........

Upepo unamwendea vibaya so anaanza kujipendekeza kwa wadau wa ukweli. Ila tu aliyelaaniwa atabaki kuwa amelaaniwa. Huyo jamaa kalaaniwa na Mungu wake
 
Na sisi pia tuna shida sana, maneno meengi ila ukipata kazi mtu anaanza kuinggia ofisin saa 4 excuse kibao, misiba mara mtoto mara hivi yaanni too much excuse...
 
Hii thread imenifurahisha sana hasa kwa mwongozo wa MAchali, inatakiwa kuwaduwaza ccm hivyo hivyo, big up Machali. itakuwa mama kilango alijuta sana.
 
Ahahahaha kwamba ajira za kuchinja mifugo yetu! Mtoto toka nursery anafundishwa kuchinja mifuho leo unataka apewe ajira tofauti! Nini maana ya specialization?
 
Anne Kilango anailalamikia Emirates kuwapa ajira Watanzania. Ajira zenyewe za Tanzania zinatolewa kwa udini.

This comment is disgusting...kwanini tunaufagilia udini?
 
I hate udini, ukabila. Hivi hatuwezi kuchangia kwa muono mwingine bila kuweka udini.

Bora sensa haikuweka mambo ya dini maana sasa hivi tungekuwa kwenye vita

Nakuunga mkono. Ila orodha haishii hapo, bado ni ndeeefu. Tusikubali Uchama, Ujinsia, Uwilaya, Ujimbo... Vyote hivyo tukivikumbatia vitatuangamiza.
 
Jamani mbona tumepoteza muelekeo wa tulicho paswa kukijadili?
Haya mambo ya udini yametoka wapi tena yarabi? Tujikite kwenye mada ndugu zanguni.
 
Endelea kusubiri pilau, kofia, t-shirt na mdumange kwa sana ukidhani kuna atakayejitokeza kuwanasua hapo mlipo wewe na wanao..

Wanangu wanakuhusu nini wapo shule saizi, wewe wanako subiri watasomeshwa na Chadema.
 
Mdini mkubwa wee, huna unachokijua ila kuwagawa Watanzania kwa kutumia udini na kuandika ----- wako kuhusu magamba. Akipata kazi Mkristo, Pagani au Muislamu lakini bado ni Mtanzania tu. Acha ujuha wako na ubaguzi.

Siku zote ukweli unauma vumilia mkuu.
 
Siku zote ukweli unauma vumilia mkuu.

Unaujua ukweli wewe? ungekuwa unaujua ukweli usingeandika pumba zako ambazo zinaonyesha jinsi ulivyo na akili finyu.
 
Unaujua ukweli wewe? ungekuwa unaujua ukweli usingeandika pumba zako ambazo zinaonyesha jinsi ulivyo na akili finyu.

Unataka kubisha ajira za serikalini kigezo kikuu siyo dini?
 
Unataka kubisha ajira za serikalini kigezo kikuu siyo dini?

Kweli wewe juha wa kutupa. Sijawahi kuona hata siku moja tangazo la kazi Serikalini likitangaza waombaji ni lazima wawe Wakristo. Acha kuandika ----- wako wa kuleta ubaguzi wa kidini. Pumbaf mkubwa.
 
Super, umepatia sana mkuu - tatizo la wengi wetu ni "kutosoma alama za nyakati!!!" - nimejaribu kuwaelimisha wakristo wenzangu lakini kwa bahati mbaya hakuna anaye nielewa!! Tatizo la wengi wetu ni kuto ona beyond our noses, narudia - wanasema lolote bila ya kutafakali mambo, kazi kutukana watu wanapo kikosa hoja za msingi - kwa hilo tu nawatolea KOFIA.
hatuhitaji kugombana na wakristo, wengi wetu nikiwemo mini kuna damu ya dini hizi imechanganyikana. nisingependa sana hata siku moja hili la kupina na wakristo litokee. ILA hao viongozi wa makanisa kama walivyofanya kule rwanda wanaweza tufikisha pabaya. mkuu hebu google hapa kwenye mtandao na angalia gazeti la mwananchi may 27 2010 uone mtikila alivyotutukana sisi waislam. tena anasema pale ikulu hatakiwi muislam, alishitakiwa kwa kesi ya uchochezi lakini ameshinda juzi kama ulivyosikia kwenye vyombo vya habari, kwani mahakimu, waendesha mashitaka, mawakili et al na wao wenyewe. tunaliona na kuliangalia kwa tahadhari sana hilo jambo. They have to take some extra precaution. Otherwise we are finnished. (google; mtikila mwananchi utaona nikisemacho)
 
WATU WAMEHAMA KWENYE MADA WAMEINGIA KWENYE UDINI NA UKABILA,INNALILLAH WAINA ILLAH RAJIUUN:bowl:
 
Vasco Da Gama II alivyosema udini unaota mizizi na kuhatarisha amani ya nchi hakukosea,thought it is said that HE is the source of it.
 
hatuhitaji kugombana na wakristo, wengi wetu nikiwemo mini kuna damu ya dini hizi imechanganyikana. nisingependa sana hata siku moja hili la kupina na wakristo litokee. ILA hao viongozi wa makanisa kama walivyofanya kule rwanda wanaweza tufikisha pabaya. mkuu hebu google hapa kwenye mtandao na angalia gazeti la mwananchi may 27 2010 uone mtikila alivyotutukana sisi waislam. tena anasema pale ikulu hatakiwi muislam, alishitakiwa kwa kesi ya uchochezi lakini ameshinda juzi kama ulivyosikia kwenye vyombo vya habari, kwani mahakimu, waendesha mashitaka, mawakili et al na wao wenyewe. tunaliona na kuliangalia kwa tahadhari sana hilo jambo. They have to take some extra precaution. Otherwise we are finnished. (google; mtikila mwananchi utaona nikisemacho)

Well Said mkuu - binafsi swala hili nilisha liona mapema sana - Serikali yetu isipo jitahidi kumaliza kero za ndugu zetu Waislaam sitashangaa siku moja Nchi hii ukakuta inagawanyika mara mbili kama ilivyo gawanyika Sudan - kusini Wakristo na Kasikazini Waislaam. Labda nieleweke kwamba sio kwamba nataka/pendekeza hilo litokee lakini tukumbuke binadamu wana kikomo cha kuvumulia, hamuwezi kuapuuzia malalamiko ya kweli ya kundi la madhehebu fulani miaka yote - tusije tukajidanganya hapa.

Historia inaonyesha hii si mara ya kwanza nchi moja kugawanyika kwa misingi ya Dini - India kwa mfano: Wakati India inatawaliwa na Waingereza hapakuwepo nchi inayo julikana kama Pakistani wala Bhangladeshi, katika harakati za kutaka kukomboa India, Kiongozi wa Kislaam aliye julikana kwa jina la Mohammed Ali Jinnah alimwendea rafiki na mwanaharakati mwenzake wa madhehebu ya kihindu aliyejulikana kwa jina la Mohandas Karamchand Gandhi (wote walisomea Sheria Chuo kikuu London kweye miaka ya mwishoni mwa 1800). Jinnah kamweleza kinaga ubaga Ghandi kwamba India ukinyakua uhuru basi nchi hiyo ingawane sehemu mbili - moja iwe kwa Wahindu na nyingine kwa ajili ya Waislaam, Gandhi alijitahidi sana kumsihi Jinna kwamba wawe kitu kimoja wasigawe nchi, Jinna alimkatalia akisema Waislaam wananyanyaswa sana hawewezi kukubali kuwa chini ya Wahindu, kapeleka swala lake UN na akakubaliwa kuhunda Taifa la Pakistani na yeye kuwa Waziri mkuu wa kwanza wa Taifa jipya la Pakistani, kama sikosei tatizo hili limekuja kujirudia tena miaka ya hivi karibuni nchini Yugoslavia ilikuja kugawanywa kwa misingi hii hii.

Kwa hiyo ninapo toa tahadhali nafikilia vitu kama hivyo, lakini kwa bahati mbaya kuna baadhi ya Watanzania wenzangu kwenye forum hii ambao aidha awanielewi au ni watu wenye dhalau zisizo na tija kwa kukosa kutafakali mambo kwa kina, oh yes kuna mmoja wao amediriki kusema mimi ni MPUMBAVU!!! - hizo ndio hulka za baadhi ya Watanzania wenzetu tulivyo, you can't blame 'em! Can U? inategemea walivyo kuwa brought UP - wana thrive kutokana na MATUSI waliyo ya-acquire utotoni.
 
Back
Top Bottom