Mkuu nenda TRA bila kuwa mchanga mkiristo upati kazi. Nenda bandarini bila kuwa mkiristo upati kazi. Nenda wizara ya elimu bila kuwa mkiristo hakuna kazi.
Ritz
Wakati mwingie siwaelewi. Hivi hapa unataka kufikisha ujumbe gani? Si mara nyingi wasema hii Serkali ni ya CCM, je uataka kusema CCM ina udini kiasi hicho kwamba taasisi za Serkali yake zinaajili wakristu tu? Labda sikuelewi mkuu.