Mama Anne Kilango na Ajira za Emirates

Mama Anne Kilango na Ajira za Emirates

mpaka lini mtaendelea na hizi ngonjera za mfumo kristo..tumezichoka... mfumo kristo tungeongozwa na muislamu?? acha pumba zenyu mkuu...piga kazi na pata elimu dunia ujikomboe na umasikini wako.
mkuu asante kwa ushauri nitajitahidi kusoma elimu dunia kama unayonishauri. ila napata tabu na hiyo ilimu dunia uliyonayo kama hata huwezi elewa mfumo ni nini na unafanyeje kazi?
kidogo nikijuacho nilihadithiwa na wasome kama wewe, ni kuwa mfumo ni zaidi ya rais. hata akae nani pale ni mfumo ndo unaomuongoza.
 
Hivi serikali kati ya wakiristo na waislam dini gani wamejaa serikalini kama siyo wakiristo ufisadi kila kona.
wengi wanataka ajira kwenye makampuno aui ,amlaka tamu tamu kama nssf....nssf maofisini mezani kuna maandishi ya kuran....majority ukienda pale salamalekui kibao.....mavazi kibandiko ruksa....
 
Anne Kilango anailalamikia Emirates kuwapa ajira Watanzania. Ajira zenyewe za Tanzania zinatolewa kwa udini.

Ritz huo ndio mwisho wako wa kufikiria? kila siku udini udini!! huna jingine kichwani! Anyway nikushauri tu kama umeshajiridhisha kuwa bila kuwa mkristo hupati ajira nenda ubatizwe uwe mkristo upate kazi! If you cant beat them join them that is the name of the game!
 
Hivi serikali kati ya wakiristo na waislam dini gani wamejaa serikalini kama siyo wakiristo ufisadi kila kona.
Nafikiri Wakristo watakua wengi,kutokana na % yao kubwa kujikita na kuzingatia ktk elimu.Sisi wapagani ndo mh!
 
Ndugu yangu mbona unatuaibisha , Una maanisha sisi wakristo ndio wafisadi wakubwa, ina maana tumezhika kila mahali Na hiyo Taasisi moja nssf iliyoshikwa na muuislamu ndio taasisi pekee yenye kuwa ni profitable. kwetu kwa wakristo kuna akina Lowasa, Mtei, Ngeleja, Sumaye, Mbowe nk ambao wote ni maafisadi. Basi tuwape jukumu lote waaislamu tupate maendeleo. Elimu yetu imekuwa ni Madigree ya kula rushwa tuu.
Mkirindi a.k.a Zeruzeru.
 
mkuu asante kwa ushauri nitajitahidi kusoma elimu dunia kama unayonishauri. ila napata tabu na hiyo ilimu dunia uliyonayo kama hata huwezi elewa mfumo ni nini na unafanyeje kazi?
kidogo nikijuacho nilihadithiwa na wasome kama wewe, ni kuwa mfumo ni zaidi ya rais. hata akae nani pale ni mfumo ndo unaomuongoza.
He..!Mfumo ni zaidi ya Rais?Sasa c tungekua tunaupigia kura mfumo badala ya Rais?Napata mashaka na brain yako
 
mkuu asante kwa ushauri nitajitahidi kusoma elimu dunia kama unayonishauri. ila napata tabu na hiyo ilimu dunia uliyonayo kama hata huwezi elewa mfumo ni nini na unafanyeje kazi?
kidogo nikijuacho nilihadithiwa na wasome kama wewe, ni kuwa mfumo ni zaidi ya rais. hata akae nani pale ni mfumo ndo unaomuongoza.

Mkuu wangu ngwendu...ulishasikia msemo usemao...IF U CANT BEAT THEM JOIN THEM... Mi nadhani tumia mfumo...huu unakaribishwa ubatizwe uwe mkristo then utaweza badili mfumo huu uliopo ukiwa ndani yake maana U CAN'T CHANGE THE SYSTEM IF U AIN'T IN THE SYSTEM...lol hope utazingatia haya
 
Hivi serikali kati ya wakiristo na waislam dini gani wamejaa serikalini kama siyo wakiristo ufisadi kila kona.

Na pale mahakamani je? Naona baba Mwanaisha amejaribu kusawazisha mambo kwa kuwaajiri Waislamu wasio na ujuzi wa sheria.
 
Anne akichangia hoja ya Kigwagwala aliitaka serikali ya Tanzania kuwa aggressive kama Serikali ya Kenya kuhakikisha vijana wa ki- Tanzania wanapata ajira katika mashirika ya nchi za nje na ya kimataifa kama ilivyo kwa vijana wa Kenya. Katika shirika la ndege la Emerates Wa-Kenya 800 wameajiriwa ukilinganisha na Wa-Tanzania 9 tu! Hata hivyo Mbunge machachari wa NCCR Mageuzi alimuomba Naibu Spika Mhe. Ndugai kumpa taarifa Anne Kilango kuwa Kenya wamefanikiwa baada ya kukiondoa chama tawala KANU katika madaraka!

Mama Anne aling'aka na kusema haitaki taarifa hiyo na kufoka kwa kuwaambia wabunge wa upinzani kukaa kimya! Taarifa hiyo ilimpotezea dira mama Anne nakushindwa kuwasilisha hoja zake kama alivyokusudia kwa kuanza kuishauri serikali yake kwa lugha ya ulaini!

Kweli magamba wanatetea serikali hii ili washibishe matumbo yao na si kutetea maslahi ya wapiga kura wao hata kama wanauona ukweli!

mbona hakugusia zile ajira za le mutuz?
 
Anne Kilango anailalamikia Emirates kuwapa ajira Watanzania. Ajira zenyewe za Tanzania zinatolewa kwa udini.

yawezekana udini ukawepo kwa kiwango fulani kutokana na:
- - - - - - - - - - - - 1/ Wengine kuzingatia sana elimu isiyo ya maslahi ya duniani
- - - - - - - - - - - - 2/ Chamasumu a.k.a CCM kime jizatiti na UFISADI kuliko- elimu bora kwenye shule za serikali na Badala yake wana ng'ang'ana na kuongeza shule za kata zisizo na walimu wala vifaa muhimu.matokeo yake kina RTZ(vichwa maji) mnazidi kuongezeka.M'BABE -wenu wa kisiasa LAWASA Aliwaambia elimu kwanza KILAZA kakodoa macho na kilimo kwanza bila shule,matokeo yake watu wana matrekta mvua imenyesha na njaa ime-waingia,kweli DHAIFU NI JANGA TZ.
 
Mada inazungumzia ajira na haijataja DINI yoyote wala haijataja CHAMA chochote cha siasa..... Tujikite kujadili mada wakuu

Emirates ikitoka dubai kwenda osaka ua kutoka japan, kijapan kinakuwa lugha kuu na vitu vyao vinatawala. Angalia emirates inayokuja su kutoka dar, hakuna kiswahili hata kidogo utadhani inakwena london
 
Acha udini mkuu ndugu rtz mtu haajiriwi kwa dini yake bali uwezo makafir bwana!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Na pale mahakamani je? Naona baba Mwanaisha amejaribu kusawazisha mambo kwa kuwaajiri Waislamu wasio na ujuzi wa sheria.

Pitia orodha ya mahakimu na majaji kabla ujaongea.
 
It seems most of you don,t think big, mtu ameingiza mada lakini mmeibadilisha na kuwa ya kidini, this is ridiculous.

Nilipenda siku moja mwana jf mmoja anayeitwa Wilcard alisema kama ifuatavyo:

"Matattizo ya kuzifanya dini kama mama aliyekuzaa ndo hayo, DINI ni kama mke, unaweza kuibadili, kuiacha, kujitenga au hata kubaki unaitazama tu"

Kama tukiweza kufuata mawazo hayo tutaweza kujadili vitu vya maana na sio dini dini dini.
 
Hapa ndiyo linapokuja suala la viongozi wetu waliokuwa 'diaspora' au wenye ushawishi nje ya nchi wamefanya nini kuwapatia Watanzania kazi nje ya nchi. Hawa ni kama vile Prof. Tibaijuka( UN-Nairobi), Prof. Migiro( UN-New York), Mama Maajar(DC), Mama Liberata Mulamula (Nairobi) na Wizara ya mambo ya nje kwa ujumla. Wakati wanasaka uongozi ndiyo wanaanza kulalamika kuhusu ajira kwa Watanzania nje ya nchi..
 
Yar ni kweli Mkuu Ritz,hasa pale NSSF kwa Ndg Ramadhan Dau na Universty Of Dodoma(UDOM).

acheni unafki nyie be analytical, AKIPATA AJIRA MKRISTO NI HAKI NA SAWA, AKIPATA MUISLAM UDINI, NYAMBAAAF
 
Mama Anne Kilango alimdadisi yule dada hadi akamwambia kati ya wafanyakazi 15,000 wa shirika lile wapo watanzania 9, wakenya 800, sababu ni kuwa wakenya nafasi zikitoka serikali yao inaintervene kuwatafutia vijana wake. Mama Kilango anasema huo ni uzembe wa serikali yetu.

Nafikiri sasa hii iwe changamoto kwa serikali yetu. Kuna njia nyingi zinaweza kutumika kuwapatia watanzania ajira nje ya nchi.
Mojawapo ni kuwapa mabalozi wetu wa nje 'quota' za idadi ya Watanzania anaotakiwa kuwapatia kazi nje ya nchi kila mwaka. Akishindwa kwa miaka miwili mfululizo kufikia 'target' anaondolewa tu..
Pili ni kuondoa 'ada' ya kupata hati ya kusafiria(Passport) na urasimu wake mkubwa..
Tatu watanzania wahamasishwe kwenda ughaibuni.
Nne, balozi zetu ziwe karibu na raia wake.
 
nasikitika tumepoteza mtiririko wa mada husika why and why wana jamvi?
 
Back
Top Bottom