kyanaKyoMuhaya
JF-Expert Member
- Jul 8, 2012
- 1,952
- 939
Mkuu nenda TRA bila kuwa mchanga mkiristo upati kazi. Nenda bandarini bila kuwa mkiristo upati kazi. Nenda wizara ya elimu bila kuwa mkiristo hakuna kazi.
Kweli mkuu, na Wasio Wakristo waliosoma shule za Wakristo ndio wameajiriwa.