Malizia mahari

Malizia mahari

he he! tatu imeanza,sio sururu bali mapanga
picha limeanza,kwa kimburu sio pakanga

nimedata kwa mkeo,nataka nimchepukie
kapita na yake kanga,taabani nakufa mie
juzi kanipa nionje,leo ananipiga na matonge!
sizonje kakubali,kibali kanipatia

unaringa unamwali,wahuni tushamjali
kitamu hakiachwi mbali,utakula visivyo mali

ukija kwa vitisho,nakupa vithibitisho
kipofu mzito,usimguse na kijiko
nakula nae sina koma PM namba anaisoma..😀 Subiri kuumwa ngoma taratibu utaisoma
Fanya mpango uingie studio aisee tena Kwa p-funk majani

Unaweza kuwa zaidi ya yule.

Halafu nakupa last warning
 
Fanya mpango uingie studio aisee tena Kwa p-funk majani

Unaweza kuwa zaidi ya yule.

Halafu nakupa last warning
ha ha! ngoja namimi nikampe last warning,halafu jifanye haunioni
 
hii kaidi mnakopa mpaka ndoa? Kuna makabila mke akifa, humziki mpaka umalize mahari.
 
Back
Top Bottom