Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,042
- 6,932
Mahakama Kuu ya Tanzania, Registry ya Mwanza, katika Matrimonial Appeal No. 5 of 2020, M.H.M v D.C, ilieleza kwa msisitizo kwamba: “Ili kuthibitisha kuwepo kwa ndoa ya kimila, lazima kuthibitishwe kwamba taratibu au sherehe za kimila za kufunga ndoa zilifanyika.”
Mahakama ikaeleza zaidi kwamba, ingawa mahari ilikuwa imelipwa, malipo hayo peke yake hayatoshi kuthibitisha kwamba ndoa ya kimila ilifungwa, kwa sababu mahari ni hatua ya awali kuelekea kufunga ndoa.
⚖️ Kwa hiyo, katika kuthibitisha ndoa ya kimila, swali si tu: “Mahari ililipwa?” Bali: 👉 Ni mila gani iliyotumika? 👉 Ni taratibu gani za ndoa zinazotakiwa chini ya mila hiyo? 👉 Je, taratibu hizo zilifanyika? 👉 Kuna ushahidi gani wa kuthibitisha kwamba ndoa ilifungwa?
📌 Kutoa mahari pekee si ndoa, na mahari pekee haiwezi kuthibitisha kwamba ndoa ya kimila ilifungwa.