Malizia mahari

Malizia mahari

Bailly5

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2015
Posts
16,553
Reaction score
35,424
1470408741148.jpg
 
Mbona haudundi kipenzi
ndo kakuacha hivyo penzi limesimama😀
Njoo kwangu ndo kwanza damu inachemka na moyo unadunda vyema mpk miaka mia,bado nakuzimia,ntaendelea kukuimbia,wewe ndo wangu dear,nipe mubashara nikupe biashara,usivae tena ndala,ung'are kama swala kwa penzi linalong'ara..
nafasi idumishe,wahuni watupishe
penzi livimbishe,upendo nizidishe
kwa lishe na mahaba,kwako sina toba
wako nisie zoba,siwezi kukupiga roba...😀😀
 
Unatamani tuachane? Impossible

Honey Bailly5 em pita hapa uone maajabu
 
Nakuona aisee jiangalie wewe

Hapo madini upo mgodini au?

Hahahah
he he! tatu imeanza,sio sururu bali mapanga
picha limeanza,kwa kimburu sio pakanga

nimedata kwa mkeo,nataka nimchepukie
kapita na yake kanga,taabani nakufa mie
juzi kanipa nionje,leo ananipiga na matonge!
sizonje kakubali,kibali kanipatia

unaringa unamwali,wahuni tushamjali
kitamu hakiachwi mbali,utakula visivyo mali

ukija kwa vitisho,nakupa vithibitisho
kipofu mzito,usimguse na kijiko
nakula nae sina koma PM namba anaisoma..😀 Subiri kuumwa ngoma taratibu utaisoma
 
Back
Top Bottom