A
Anonymous
Guest
Malipo yanacheleweshwa hii ni baada ya taasisi kurudishwa Serikalini project haziendi kama inavyotakiwa. Pesa zake zinachelewa, waajiriwa wapya mpaka wameondoka miezi 5 hawajalipwa.
Alikuja mkurugenzi akaahidi kulifuatilia mwezi sasa umekata hakuna kilichoendelea.
Alikuja mkurugenzi akaahidi kulifuatilia mwezi sasa umekata hakuna kilichoendelea.