mkuu wa mkoa kilimanjaro

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Malipo yanacheleweshwa TACRI Kibosho

    Malipo yanacheleweshwa hii ni baada ya taasisi kurudishwa Serikalini project haziendi kama inavyotakiwa. Pesa zake zinachelewa, waajiriwa wapya mpaka wameondoka miezi 5 hawajalipwa. Alikuja mkurugenzi akaahidi kulifuatilia mwezi sasa umekata hakuna kilichoendelea.
  2. R

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro Nurdin Babu, atahadharisha jamii kuhusu ngono zembe na kuendelea kujikinga na UKIMWI

    Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro (RC), Nurdin Babu ameitaka jamii kuendelea kuchukua tahadhari kwa kuacha ngono zisizo salama na kutumia kinga ili kuepuka na au kupunguza maambukizi mapya ya Virusi vya Ukimwi (HIV):’’Kwani ugonjwa huu bado upo.’’ Mkuu huyo wa mkoa amesema hayo jana Alhamisi, Julai...
  3. Yopinto

    JamiiForums Tanzania Je, unamjua Louis P Sazia, aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro na mbunge wa Kahama?

    Ee bwana wanyamwezi walikuwa na huyu mzee ambaye kwa sasa ni MarehemU, alikuwa jembe na nusu. Huyu mzee alikuwa awe chief baada ya baba yake Andrea Sazia, lakini uhuru ndipo ulipatikana na hivyo uchief ukawekwa pembeni, huyu mzee alitokea familia ya kitawala huko kwa Wanyamwezi walioshi...
Back
Top Bottom