kibosho

Kibosho Magharibi is a town and ward in the Moshi Rural district of the Kilimanjaro Region of Tanzania. Its population according to the 2012 census was 20,291.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Malipo yanacheleweshwa TACRI Kibosho

    Malipo yanacheleweshwa hii ni baada ya taasisi kurudishwa Serikalini project haziendi kama inavyotakiwa. Pesa zake zinachelewa, waajiriwa wapya mpaka wameondoka miezi 5 hawajalipwa. Alikuja mkurugenzi akaahidi kulifuatilia mwezi sasa umekata hakuna kilichoendelea.
  2. Troll JF

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwenyekiti wa CHADEMA kata ya Kibosho akutwa amefariki, Chanzo chatajwa kuwa ni Pombe

    Kijana Deogratius James Ottaru (37), mkazi wa Kijiji cha Kirima Kati, Kata ya Kibosho Kirima, wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro, amekutwa amefariki dunia ndani ya nyumba yake aliyokuwa akiishi peke yake. Taarifa zinaeleza Drogratius (marehemu) alifariki takribani siku mbili kabla ya...
  3. luambo makiadi

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Wananchi Kibosho wakarabati barabara zote za mitaa

    Wakuu salaam, Wananchi wa kata ya Kibosho halmashauri ya wilaya ya Moshi wamekarabati barabara zote za eneo hilo kwa michango yao binafsi. Wananchi wa mkoa wa Kilimanjaro kwa muda mrefu wana utamaduni wa kuchangia shughuli za kimaendeleo bila kutegemea serikali. Siku chache zilizopita...
  4. B

    JamiiForums Tanzania KIBOSHO: Askari wanaofanya operesheni ya kuua mbwa waua Binadamu,baada ya mbwa alielengwa kukwepa

    Tukio limetokea usiku huu,maeneo ya KIBOSHO kindi, ambapo mtu mmoja anaefahamika kwa jina la Munishi, Afariki dunia baada ya kupigwa risasi ya kifua ktk operesheni ya kuua mbwa wanaozurura hovyo inayoendelea huko KIBOSHO. Wamarangu, Wauru,wamachame,waold Moshi,wamasama,warombo tumefiwa huku...
  5. Kibosho1

    JamiiForums Tanzania Isiye waterfalls: Sehemu mpya ya kitalii Moshi

    Katika mkoa wenye vivutio vingi vya kitalii basi ni mkoa wa Kilimanjaro. Hii inatokana na uwepo wa mlima,ukiachilia mbali mlima huu kuwa kivutio,kuna mito inayotoka mlimani inayoteremka na baadae kuwa mto mmoja yani mto Pangani ambao unamwaga maji yake kwenye bahari ya Hindi. Uwepo wa mito...
  6. Kibosho1

    JamiiForums Tanzania Kibosho Catholic Church lina umri wa miaka 130: Kwanini hili Kanisa lisiwe kivutio cha utalii?

    Kwanza kabisa nasikitika sana historia ya eneo hili kufichwa au kutokua wazi. Nimepita pita sana kila kona lakini sijawahi kuona hostoria yake. Kanisa hili lilijengwa na Wajerumani kwa mawe miaka ya 1880. Ujio wa Wamisionari hawa ulitoa fursa kwa Kibosho kuwa na sehem ya ibada, kujengwa kwa...
Back
Top Bottom