The Fixer
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 1,365
- 596
Dah! Nilichelewa kuuona huu uzi ila nitachangia tu uelewa wangu huenda wapo watakaonufaika na kuelewa na wapo pia ambao hawataamin kabisa.
Mali za kijeruman ni kweli zipo tena nyingi sana. Pia ni kweli kuwa mali hizo zimefichwa kwa utaalam usio wa kawaida yani uchawi aina ya mistry umetumika zaidi. Uchawi huu hutumiwa zaidi na taifa teule la Mungu yaani waisrael. Mistry ni uchawi wa hali ya juu sana kiasi kwamba uchawi unaotumika afrika wa black magic ni vigumu kutengua kitu au mtu aliyelogwa kwa uchawi huo.
Watanzania wengi hawawezi kuamin uwepo wa mali hizo kutokana na mazingira yake kuwa magumu kuliko fikra za wengi. Ili kupata Mali hizo za wajeruman ukienda kwa mganga sharti atakwambia uchinje kuku, ng'ombe, mbuzi au kafara ya mtu jambo ambalo ni kosa kubwa katika kutafuta mali hizo. Mali hizo hazihitaji kafara ya damu isipokuwa kuna utaratibu wake wa namna ya kuzitafuta na kuzipata.
Kuna watu humu jf wanapinga uwepo wa mali hizo lakini baadhi yao wanaopinga htawajawahi kusafiri mikoani. Fanyen tafiti.
Naunga mkono hoja yako Mkuu !
Hiyo picha ni baadhi ya mlango wa site unavyoonekana