Ng'wanapagi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 9,116
- 8,658
mkuu ungetupa story step kwa step mfano ulienda vijiji gani n amadini gani ulikuwa unatafuta,vikwazo etc tungejifunza mengi kwako kuhusu mali za mjerumani
Vijiji ambavyo nilifika ni Bumanda kipindi hicho ikiwa wilaya ya Geita (sasa Nyang'hwale),baadae nikaingia Mwanzayamadaso,Ngemo,Ivumwa (Ushirombo) baadae tukaanza kusaka milimani na Mzee mmoja Mzanzibar akaweka dau la gari mpya endapo tukipata. Nilichokuwa natafuta ni pasi ya Mjerumani na birika ambalo tuliaminishwa vilitengenezwa kwa dhahabu tupu. Kaka yangu Juma hadi ndoa ilivunjika kwa kulowea akitafuta hizo dhana. kwa kifupi usijaribu kabisa hili dili ni nusu ukichaa.