Mali za Kijerumani

Mali za Kijerumani

Hizi habar ni za kwel...hata mm juzi jumapili nlikuwa kilwa kisiwani walipokuwa Waarabu enzi hizo.Kuna mzungu mmoja alikuja kutafiti akazunguka sana mwishowe akapata dhahabu kibao na akaondoka nazo...mpka sasa kunazo sema tu teknolojia ndo hakuna bdo tumelala.zipo rupia za zaman za dhahabu kwenye magofu lakn ukiinua moja tu huoni mlango wa kutokea
 
mkuu maeneo gani hayoo mkuu
 
Kupata mali hizo kunahitaji utafiti na uelewa wa alama unazoziona kwenye hiyo site. Pia unatakiwa kupata wataalam wenye uelewa na mali hizo ili wakupe muongozo kulingana na alama zilizopo ktk eneo/site hiyo.

Tatizo la wtz ni kukurupuka na ndo maana wengi wanafilisika. Mali hizo sio kama kuchimba almasi bali kuna taratibu zake unazopaswa kuzifuata ndipo upate mali. Ukumbuke kwanza mali hizo ni za watu wamezificha kwa utaratibu wao. So hata kuzipata ni lazima upitie taratibu fulan. Hutakiwi uwe umewahi kumwaga damu ya mtu au uwe na tabia ya uchawi. Na hayo ndo mashart makubwa pamoja na mengine mengi kwa aliye na site yenye mali hizo.

Moja ya shart baada ya kupata mali hizo ni kutoa sadaka kwenye jamii inayokuzunguka.

mzee master embu naomba kupata maelezo ya nguvu toka kwako ...kama hautajali nataraji kufanya utafitii Wa nguvu ..
 
Hizi Mali zipo kabisa hata hapa kijijini kwetu yapo mashimo ya dhahabu ambayo juu yalifunikwa kwa zege
 
Kupata mali hizo kunahitaji utafiti na uelewa wa alama unazoziona kwenye hiyo site. Pia unatakiwa kupata wataalam wenye uelewa na mali hizo ili wakupe muongozo kulingana na alama zilizopo ktk eneo/site hiyo.

Tatizo la wtz ni kukurupuka na ndo maana wengi wanafilisika. Mali hizo sio kama kuchimba almasi bali kuna taratibu zake unazopaswa kuzifuata ndipo upate mali. Ukumbuke kwanza mali hizo ni za watu wamezificha kwa utaratibu wao. So hata kuzipata ni lazima upitie taratibu fulan. Hutakiwi uwe umewahi kumwaga damu ya mtu au uwe na tabia ya uchawi. Na hayo ndo mashart makubwa pamoja na mengine mengi kwa aliye na site yenye mali hizo.

Moja ya shart baada ya kupata mali hizo ni kutoa sadaka kwenye jamii inayokuzunguka.

Wewe ulishapata huo mwongozo?
 
hiyo ishu ipo..ila nna jamaa wamefilisika sababu ya hiyo kitu...kuna kijiji flani karibu na kilwa hiyo ishu nimeishuhudia kwa macho ktk kiwanja cha jamaa zangu hawa....iko hivi miaka mitatu iliyopita hawa jamaa walifiwa na bibi yao mzaa mama huko kijijini ila yule bibi kabla hajafa aliwahi kuwaambia kwamba katika shamba lake kuna vitu vilifukiwa na wazungu kipindi hicho cha mjeruman..wajukuu walibisha ila bibi hadi anakata kauli alikuwa na msimamo huohuo kuwa kuna vitu vimefukiwa chini ya lile shamba na anahisi ni mali.hivyo kama wajukuu wataweza wakomae.....jamaa yangu mmoja kati ya hao wajukuu tulipanga nyumba moja maeneo ya mabibo..huyu alikuwa na goli la mitumba big brother pale...jamaa kila.siku alikuwa akinambia hiyo story ya bibi yake akitaka nimpe mzuka tukafukue ila mimi nikawa naona ni.story za kijiti tuu...basi jamaa wakakaa familia ya watu wanne na kaka.zake wakahamia bush kama maskhara, wakaweka kambi shamba na shughuli ikaanza...jamaa walichimba sio.vile unavyojua wewe chimba sana na.wakaenda kuchukua mikopo kwenye hizo taasisi zao wakakodi na scaveta kweli baada ya kuchimba lishimo refu kama nguzo mbili.za umeme wakakuta zege moja ya maana sana...hapo hata ikabidi wakodi tena mtambo wa kuvunja ile kitu..huwezi amini walifeli hadi mpango unakata zege halivunjiki.....ila mbaya zaidi siku moja walikuja wazee na diffenda wakawasomba na kuwatupa ndani......hadi hivi navyoandika jamaa wanalipa madeni tuu..mzigo hawajapata
hii ni kweli, nimesema huko rukwa jamaa yangu alifika kwenye hiyo zege, hailipuki kwa baruti, lakini akipima kwa GIS inaonyesha ndani kuna madini ya thamani kubwa, ameshindwa kuyatoa hadi leo, mpuuzi mmoja akabisha eti zege gani halilipuki kwa baruti
 
Kuna watu wanafurahisha, jamaa fulani wa makanisa ya kilokole walipata eneo lenye hayo madini yaliyofichwa, inasemekana uchawi pia ulitumika kuyaficha, hivyo wakaona kabla ya uchimbaji wamtafute nabii ambaye kazi yake itakuwa ni kuomba tu, wanamhudumia kila kitu hadi watakapopata madini

Walichimba miezi kadhaa hadi kufika kwenye zege, walikuwa wameahidiwa na kampuni flani ya ujenzi kuwa wakifika kwenye zege watapewa vifaa maalumu vya kulifumua, wakafurahi wakijua kazi imekwisha. Shimo lilikuwa lrefu kama nguzo mbili chini

Jioni hiyo walikubaliana na kampuni kuwa kesho yake asubuhi vitapelekwa vifaa kubomoa zege

Lakini jioni hiyo yule mama nabii waliemchukua kwa ajili ya kuomba akawaita kawaambia BWANA anauliza akiwapa hayo madini mtamtolea kiasi gani kwa nia moja? Watatu wakasema tutatoa nusu ya fedha zitakazopatikana kanisani, mmoja hakuwa mlokole akasema nyie wapumbavu mmeona tumefika mwisho ndio mnataka kunitapeli eti nusu mmeleke kanisani, hakuna, hapa ni sawa kwa sawa,

Yule mama nabii akawaambia kwa kuwa hamna nia moja hayo madini hamtayapata

Kesho yake walipokwenda wakakuta shimo lote limejaa maji, kama kuna chemchem kwa ndani
 
Wewe ulishapata huo mwongozo?

Muongozo upo lakini unatakiwa ujue kupata utajiri si sawa na kuamka usingizini ni lazima ufight hasa. Tatizo wataalam wa kutoa haya maficho ni wachache tz pia wameingia na matapeli ndani yake.

Tatizo lingine ni sisi wenyewe wtz kutokana na umasikini wetu wengi wetu tunaenda kwa hisia kwa sababu vipimo vya kupima mali hizo vinapatikana ujerumani na israel tena kwa gharama kubwa. So maeneo mengi tunahisi kuwa zipo lakin hatuna uhakika. Cha msingi ni mtu kusoma alama zao na ukatafuta cod zake ili ujue pale ulipoona mzigo mali itakuwa upande gani. Ipo siku watu watapata wabishi mtabaki na kusema hakuna kitu kama hicho. Cha msingi achen ubishi fanyeni utafiti mtagundua ukweli.

Kaka hakuna tajiri atakayekuambia amepata utajiri kutokana na hizo mali lakin ukweli ni kwamba wapo tena wengine ni maarufu sana nchi hii. Ingia kwenye ulingo wa utafiti wa mali hizi utawapata watu waliotajirika kupitia mali hizo.
 
Stori zilezile
 
Ukiona kitu kama pasi, stovu, sufuria vyenye alama ya minaz au simba au kichwa cha mtu aliyevaa kofia usikimbilie kwa mganga ni bora ukakichuku na kukihifadhi ktk mazingira mazur na kutafuta mtu anayejua mambo ya maficho ya kijerumani. Tatizo kubwa tulilo nalo watz ni kuwepo kwa matapeli wengi zaidi kuliko wahusika wenyewe. Na kwa sababu matapeli ni wengi wamesababisha watu kukosa iman na ukweli wa jambo hili.

Ukiona pango na ukaona sanduku/masanduku ndani ya pango hilo ukajaribu kupita ukaona aidha mtu au nyoka usitafute mganga wa kienyeji bali tafuta wataalam wanaohusika na mambo ya kale hasa ya kijeruman hao ndo wenye uwezo wa kuondoa mauza uza hayo na kuitoa mali hiyo.

Kitu cha kushauri hapa ni kuwa usipende sana kutafuta rupia maana ina mashart mengi zaidi kuliko mali nyingine ya mjerumani. Na ndo maana wengi waliohangaika kutafuta rupia walifilisika. Kama unatafuta rupia na ukaipata huyo uliyemkuta nayo unatakiwa ufuatilie kwanza je, ni ya kwake, ukoo wake au aliiba, au aliikota?

Hapa kilwa mkuu kuna rupia zipo kwenye magofu ya waarabu lakini ukichukua hata moja tu huoni mlango wa kutokea nje...anaebisha ani PM niko kilwa nimpeleke maana naona mnabisha sana
 
nadhani IPO haja ya kuungana KWA pamoja ""treasury hunter"" tukazimaki Mali hizi pote Tanzania,tukaungana na treasury hunters wa ujerumani katika kufanikisha hili kwa uhakika au mna maoni gani wadau!
 
Anayenunua hizi kitu tuchekiane nimuunganishe sehemu..." Rupia ya mwaka .1904 A. Isiyo na simba ,ina rangi nyeupe.maarufu kma makuti.
 
Mwenye rupia nyekundu, njano au fufumark pia rupia kama EIN RUPIA hii shart iwe na heruf 'j' pia nyota mwanzo na mwisho wa mwaka soko lopo la uhakika hapa dar es salaama..pia maji mekundu,njano au meusi yaani (mercury)..pasi za mjeruman,stoves na korofindo yan bunduk ya mjeruman asisite kuwasiliana nami kwa namba 0716637717. / 0769767771. Tafadhali piga ukiwa na uhakika na mzigo ulionao biashara ni dar na si pengine popote
 
Back
Top Bottom