Wewe kilaza wamkamata wapi mbona leo asubuhi nilikuwa nae?
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, kapteni Komba kama raia alikuwa na haki ya kuingia msituni kupigania serikari mbili na katiba inaruhusu hivyo under article 28 (3) ya katiba yetu.Huyu bwana kuna wakati alitaka umma wa watanzania umuone kama jasiri lakini imewachukua sekunde crdb kumfanya ajisalimishe
Huku mwelewa kamanda alitaka kwenda msituni kunya tu....
Wewe kilaza wamkamata wapi mbona leo asubuhi nilikuwa nae?
Huku mwelewa kamanda alitaka kwenda msituni kunya tu....
hii ni kufunika so la kabinti alikopiga nako picha waki duuuuu zikasambaa mtandaoniBado sakata la picha za uchafu kwenye mtandao yamekuja mengine tena. Kweli dunia tambala bovu
Benki ya CRDB iko njiani kufilisi mali za mheshimiwa Kapteni John Komba kutokana na kushindwa kulipa deni . Ikiwepo shule zake kupigwa mnana.
Jumla ya deni lote ni shilingi bilioni moja za kitanzania.
===================================
Chanzo;Raia Mwema
na bado, band ya TOT ikowapi?
Yuko wapi Rugemalira... Ashushe mana