Mali za Kapteni Komba kupigwa mnada na CRDB

Mali za Kapteni Komba kupigwa mnada na CRDB

kaipata fresh na cdm wanachukua jimbo lazma afe kwa presha punguani wahid
 
Anakufa vizuuri kimya kimya kwa stress, hawez tena rudi bungeni kwa kura, shule na nyumba zake zimeuzwa, na mjue walioshndwa msaidia sa hivi hawataweza msaidia akitoka kwenye system,
R. I. P Capten

Kwa kweli maneno huumba
 
intarahamwe sasa inkwaje ofisi ya waziri mkuu iingilie suala la mt binafsi mafisadi tu
 
Je deni letu wanahisa wa CRDB limelipwa? au ndo tuanze kuuza mali na watoto
 
si akokope tu pale NBC bilioni moja na nusu akalipe crdb. Kwa kufanya hivyo atakuwa amebuy more time ili aweze kujipanga vizuri Zaidi kwa ajili ya kuwalipa NBC ndani ya miaka mitano ijayo.

Alikuwa busy na kula ujana, hayo mawazo angepata wapi?
 
Si vyema kumsema marehemu ila..

Nimetembelea gest zake MbambaBay na Lituhi hamna hata moja yenye hadhi. Vunjavunja n magofu tu huwezi lala siku mbili mfulilizo. Ni mapipa ya maji ndani na ukarabati mfulilizo.

Moja imewekwa alama X na Tanroads akafuta. Lakini akarudisha baada ya kushauriwa kuwa yeye ndo alitunga sheria.

Seems Jamaa aliweka interest zake somewhere else sio kwenye Real Estate Development. Mzaha tele Mh unaingia ofisi za Wilaya na Mkoa ukiwa umevaa malapa/ sandals na track suit ??

RIP JDK
 
Roho yako kwatu sasa!

Anakufa vizuuri kimya kimya kwa stress, hawez tena rudi bungeni kwa kura, shule na nyumba zake zimeuzwa, na mjue walioshndwa msaidia sa hivi hawataweza msaidia akitoka kwenye system,
R. I. P Capten
 
Kwanini CCM wasiisaidie familia yake kawaimbia miaka yote kwenye kampeni.
 
Anakufa vizuuri kimya kimya kwa stress, hawez tena rudi bungeni kwa kura, shule na nyumba zake zimeuzwa, na mjue walioshndwa msaidia sa hivi hawataweza msaidia akitoka kwenye system,
R. I. P Capten

Aisee mkuu Jamiix mdomo wako haufai mkuu uliongea hii kitu januari 19 2015 na jana feb 28 mzee komba kafariki daah usije kumtamkia mtu maneno mabaya mdomo wako haufai.
 
Last edited by a moderator:
Komba marehem c wa kwanza kua.mdaiwa wa bank. Hamna jipya la kutujuza. Wanaodaiwa ni wengi. Na c mada ya kuelezea fulani anadaiwa. Kudaiwa ni part of life . Mnapoteza mda.
 
Aisee mkuu Jamiix mdomo wako haufai mkuu uliongea hii kitu januari 19 2015 na jana feb 28 mzee komba kafariki daah usije kumtamkia mtu maneno mabaya mdomo wako haufai.
mbona hili lipo straight mkuu, unakopa kuwanunulia magari vimada na kuwajengea mijumba utegemee hutapata mshutuko wa moyo! Thubutu! Wakianza kukudai ndio unaanza kusoma numba za mkopo
 
Last edited by a moderator:
Si vyema kumsema marehemu ila..

Nimetembelea gest zake MbambaBay na Lituhi hamna hata moja yenye hadhi. Vunjavunja n magofu tu huwezi lala siku mbili mfulilizo. Ni mapipa ya maji ndani na ukarabati mfulilizo.

Moja imewekwa alama X na Tanroads akafuta. Lakini akarudisha baada ya kushauriwa kuwa yeye ndo alitunga sharia.

Seems Jamaa aliweka interest zake mewhereelse sio weye real estate Development. Mzaha tele Mh unaingia ofisi za Wilaya na Mkoa ukiwa umevaa malapa/ sandals na track suit ??

RIP John K

Kamwe wezi mwisho wao ni aibu yao!
 
Back
Top Bottom