Malengo Yako Ya 2026 ni yapi?

Pole sana ndugu
 
Karibu sana mkuu... kulitekeleza hili kutakuwa na platform ya kupata wanachama, utapata nafasi, na nafasi ya kushiriki uongozi ndani ya chama itakuwa open kwa kila mwanachama kwa usawa. Karibu sana
Kaka yaani ona hapa tunachati vizuri kabisa alafu nianze kutafuta uanachama kwenye platform kweli ?

Ni suala la kuniita chemba na kunipa walau kadi namba mbili alafu kunipa majukumu niwashe moto mbeya au kanda ya kusini ili uone moto wangu lakini ukisema nianze kujiunga kwenye maplatform ni kushusha mahadhi yangu mimi mwamba .
 
Ni kama tumbo la period linavyouma, maumivu yanavumilika kabisaaaaa labda kama yanatofautiana mtu na mtu lkn mimi haikuuma hata kidogoo
ephen_ Una watoto wangapi? My uchungu unauma hadi unaweza ongea kichina na hujawahi jifunza 🤣🤣🤣 sema itakua inatofautiana mtu na mtu, nina rafiki angu nae anasemaga hakuumwa popote
 
Usijali kabisa mkuu, nitakuzingatia kabisa. Tutahitaji kama watu 2000 wa kukiwasha nchi nzima. Hao ndo watakuwa roho ya chama. Usijali kabisa
 
Kuna dada humu alinihaidi kuwa atanipatia wadogo zake wawili mmoja kati yao niweze kuoa, watakapo maliza chuo, na alisema ni warembk kweli kweli.
Anyway nisijekuwa natafuniwa huko chuo.
 
ephen_ Una watoto wangapi? My uchungu unauma hadi unaweza ongea kichina na hujawahi jifunza 🤣🤣🤣 sema itakua inatofautiana mtu na mtu, nina rafiki angu nae anasemaga hakuumwa popote
Mtoto mmoja! Uchungu haukuniuma😂 madaktari walikazana kuniambia push mtoto atoke kimoyomoyo najiuliza nipush nini wakati namsikia mtoto anajisukuma mwenyewe?
 
Mungu akubariki hitaji la moyo wako likawe kama uombavyo, mengine ujipe moyo wa uimara yatapita bila ya shaka.
Mimi malengo yangu namwomba Mungu nijaaliwe kuweza kuongeza wigo ktk ufugaji wangu niweze kuwa na idadi nzuri ya majike wa kuzalisha ili niweze kuwa na usambazaji mzuri wa Mbuzi.
 
Kila neema/baraka huja na changamoto zake, ukizishinda ndipo akili hupanuka huo ndio ukubwa. Wakati ww unawaza hivyo mwenzako anawaza ataongeza vipi kipato sababu familia inaanza kuwa kubwa so ni kawaida unapoingia daraja fulani kwenye maisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…