Malengo Yako Ya 2026 ni yapi?

Navyoona watu wanachanika kei wakati wa kujifungua nachoka mixer kuogopa πŸ˜‚
Kuna kitu kinaitwa kupanua njia vema kukifanya hasa ule mwezi wa mwisho walau mara 2 kwa wiki.. Changamoto itakuwa kwenye Style maana si kifo cha mende wala doggy style zitafaa labda mbuzi kagoma kwema na ikishindikana hiyo basi chuma mboga Alternatively mchuzi juu style ya popoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nilitarajia Kiranga ata-catch ulipomtaja Mungu πŸ˜‚

Heri ya mwaka mpya Saint Anne
Nilitaka kusema Amen kabisa, ila nikaona kuna watu wataishikia bango hiyo Amen na kuifanya mada.

Mimi kwetu pande zote ni makanisani. Babu mzaa baba alikuwa mchungaji, na baba yake bibi yangu mzaa mama alikuwa mtu wa kanisani kabisa, hilo kanisa la Azania Front hapo Dar kalijenga wamemaliza kujenga mwaka 1903.

Hizo habari za "ubarikiwe" na maongezi ya Mungu ni kawaida sana.

Nikirudi nyumbani kitu cha kwanza napewa Biblia niendeshe maombi, kila siku wanasali.

Hapa napokea heri za mwaka mpya na kuombeea baraka za Mungu kila saa.

Hivyo ku catch kwa kuambiwa habari za Mungu si rahisi hi yo, labda nitake kujenga hoja kifalsafa tu.
 
Simply kubadili mazingira ya hapa nilipo kuhamia mahali pennye fursa zaidi.

Mengine yatajulikana mbele kwa mbele mana kwa niliyoyapitia kikubwa uhai tu
 
Nilitarajia Kiranga ata-catch ulipomtaja Mungu πŸ˜‚

Heri ya mwaka mpya Saint Anne
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ½
Na mimi nilikuwa nasubiri nione atajibu vipi🀣🀣🀣

Happy new year Joan
Nitakupa assist kwenye mbili tatu za mtoto
Kwa kuanza ondoa hasira na kinya, na usiwe mvivu
 
Naomba niwe mwanachama wa hiko chama chako ,nakuahidi kiongozi sitakuwa msaliti kabisa aisee
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ½
Na mimi nilikuwa nasubiri nione atajibu vipi🀣🀣🀣

Happy new year Joan
Nitakupa assist kwenye mbili tatu za mtoto
Kwa kuanza ondoa hasira na kinya, na usiwe mvivu

Kapotezea πŸ˜‚πŸ˜‚

Asante Saint Anne
Hasira sina,kinyaa nakifanyia kazi manake ninacho cha kutosha na uvivu
 

Kumbe kanisa la Azania Front ni la muda mrefu namna hiyo, 1903!!

Hahahahah ungesema Amen watu wangeshikia bango kweli kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…