Malaysia airplane: Utabiri wa Prophet TB JOSHUA WATIMIA

Malaysia airplane: Utabiri wa Prophet TB JOSHUA WATIMIA

wapi nimeandika ni masikini...?
na pia hapa tunamzungumzia Yesu aliyeishi duniani..kabla hajafa,kufufuka na kupaa mbinguni..tunayazungumzia maisha aliyoishi alipokuwa hapa Duniani kwa kuwa naamini ndio mfano wa maisha tunayotakiwa kuishi.
aliweza kuwa na kila kitu lakini akaamua kuishi maisha ya kawaida ...kama tunamuamini Huyu Yesu sioni kwa kwa nini huelewi ninaposema kuwa Wakristo nia watu wanaomuamini na kUmfuata Yesu..Tanafanya alivyotuagiza tufanye na tuanishi kama alivyoishi Yeye...
Usiponielewa na Hapa itabidi nianze kupata mashaka kuwa labda Hatumuanini Yesu mmoja..

Mkuu kalou asipokuelewa hapa basi tena..Aendelee na huyo Nabii wake..
 
Last edited by a moderator:
Huyu ni muongo kama waongo wengine. Aache porojo aseme ndenge hiko wapi.
 
hata yessu kukubalika ilikuwa kaz ndo atakuwa t joshua,waswahil sisi kaz sanah,mpaka yakukute ndo mtu anaamini ila kwa hivhiv tu ni kaz sanah
 
Watu wengi mnashindwa kufaham maana halisi ya meno UTABIRI,hakuna utabili unaofanyika baada ya tukio ama kuhusu kitu ambacho kimeshatokea,hizo tunaita hisia sio utabili.Utabiri wa huyo Joshua wenu ni HISIA,ama matarajio ambayo kila mtu anaweza kudhania.
Kwa nini asingetabir kabla ya tukio??,Mtaendelea kutapeliwa pesa zenu kwa ujinga wenu na nna imani SIKU MKIUJUA UKWEL MTAKUWA HURU,,,halafu cha kushangaza ni kwamba kwa nini huyo MUNGU,wake asimwambie kabla kwamba kuna hatar itatokea na kuua watu ili tahadhar ichukuliwe?? Mungu gan anaesaidia kueleza matokeo baada ya tatizo???,inamaana hata mungu hakujua kama litatokea??,ama alipenda litokeeee??,na kama ndege isipoonekana eneo la bahar ya hindi kama alivotabir hata mungu atakuwa alibahatisha hakuwa na uhakika?????,tafakar
 
Mkuu kalou asipokuelewa hapa basi tena..Aendelee na huyo Nabii wake..

mi nimemwelewa mkuu ila sio kudharau wapakwa mafuta kama TB.JOSHUA
 
Last edited by a moderator:
Watu wengi mnashindwa kufaham maana halisi ya meno UTABIRI,hakuna utabili unaofanyika baada ya tukio ama kuhusu kitu ambacho kimeshatokea,hizo tunaita hisia sio utabili.Utabiri wa huyo Joshua wenu ni HISIA,ama matarajio ambayo kila mtu anaweza kudhania.
Kwa nini asingetabir kabla ya tukio??,Mtaendelea kutapeliwa pesa zenu kwa ujinga wenu na nna imani SIKU MKIUJUA UKWEL MTAKUWA HURU,,,halafu cha kushangaza ni kwamba kwa nini huyo MUNGU,wake asimwambie kabla kwamba kuna hatar itatokea na kuua watu ili tahadhar ichukuliwe?? Mungu gan anaesaidia kueleza matokeo baada ya tatizo???,inamaana hata mungu hakujua kama litatokea??,ama alipenda litokeeee??,na kama ndege isipoonekana eneo la bahar ya hindi kama alivotabir hata mungu atakuwa alibahatisha hakuwa na uhakika?????,tafakar

soma maoni ya wenzako sio unakurupuka alishatabili kabla na baadae akasema ndege itakapoonekana.umeshakula au ndio unaamka
 
kwa hiyo haukuwa na msingi wa kunikosoa na kusema nimelitafsiti vibaya neno unless ungekuwa na tasfiri tofauti na niliyonayo mimi..

lazma ukoselewe biblia ni moja ila watu huwa wanaitafsiri tofauti tofauti ndo mana nikakwambia mtafute mchungaji wako akufundishe au padri kwa uelewa zaid
 
soma maoni ya wenzako sio unakurupuka alishatabili kabla na baadae akasema ndege itakapoonekana.umeshakula au ndio unaamka

Tatizo lako umekaririshwa kila kitu,hutaki kukubali kwamba umekariri na huijui hata dini,wala imani ,.nilishwakwambia mwanzo kwamba mi nikisema sasa kwamba mwezi huu bom litaripuka irak na kuua watu,sidhan kama itapita hata wiki bom halijalipuka,kisha mtaaniita mtabir na kuniletea sadaka jumapili.,Hakuna mwiz mbaya kama anayetumia imni kama huyu wenu.fanyeni mambo ya maana hakuna kitu mnachofanya hapo.,Na hujajibu kwa nn mungu amuoneshe maovu tu,lini ametabili jema ?ama neema
 
vipande vinavyozaniwa ni vya air malasyia vimeanza kuonekana bahari ya Indi kama alivyo tabiri mtumishi wa MUNGU TB JOSHUA
aibu kwa waliomkweza na kumtolea maneno ya kashfa
source. CNN

1395492161242.jpg1395492184976.jpg
 
Unaona ulivo nyuma ya dunia?? Hizo taarifa zimeshakanushwa we bado unazo??
 
Hakuna kitu kinachomtesa mwanadam kwa sasa kama huku kufuata mambo yasiyo na maana na kuendekeza ujinga na kutapeliwa kiholela kama huku.kuna siku niliwahi kumuuliza mdau mmoja hapa kwamba nikiona machafuko somalia ama sudan yamepamba moto nikasema kwamba hivi karibuni bom litalipuka mji mkuu wa sudan na kuiwa watu wengi je itapita muda gan halijalipuka???.,JOSHUA,anachofanya ni kusoma nyakati,kama ndege ilipotea angan na uwezekno wa kwamba ilianguka baharini kwa kuwa ilikuwa eneo flani inashindikana???,.,mbona watu wa hali ya hewa walitabili siku ya pili ya tukio kwamba itakuwa imeanguka baharin??,kwani waliambiwa na mungu??,achen kujishushia uwezo wa kutafakar na kumsingizia mungu wengu kila kitu.,

Mfano,tetesi za kuugua kwa mandela zilipokuwa hewan,ningetabili kwamba ,,siku za karibuni Bara la africa litakabiliwa na pigo kubwa ,kisha baada ya mwezi mandela akafariki nitakuwa mtabili???,,mbona mnajishusha kimawazo na kuendeshwa imani potofu.Nathubutu kusema Joshua ni tapeli na mtupu kabisa hana chochote.kama we unatumia ubongo wako vizur fuatilia hata video za uponyaji wake utaona ni wadada na wakaka walioandaliwa kwa tukio lile.et jini lepanda afu analiuliza linamwambia sema tena sijackia vizur,mara ohh unamaana gani?,jini linamjua hadi jina,jini linaomba kiti likae,jini linazijua sehem ndan ya kanisa na majina ya wahudumu hahahahaaaaa.,

Tatizo ni ufahmu mdogo ulionao kuhusu Mungu! Anzisha lakwako nawewe uandae watu kama unaona inawezekana. Watu mkiona miujiza hamuamin ni Mungu mnaona ni shetan, so mnaona shetan ndiye anaweza sana. Pole sana maana inaonekana shetan ndio mungu wako.
 
A'u mentally pure? Unaelewa maana ya kutimia? Unathibitisha utabir umetimia then unatuambia "vipande vinavyodhaniwa" kinachodhaniwa kimetimia?
 
Tatizo ni ufahmu mdogo ulionao kuhusu Mungu! Anzisha lakwako nawewe uandae watu kama unaona inawezekana. Watu mkiona miujiza hamuamin ni Mungu mnaona ni shetan, so mnaona shetan ndiye anaweza sana. Pole sana maana inaonekana shetan ndio mungu wako.

,Kuwa mpole acha jazba,kabla sijakujibu hoja zako dhaifu nambie Nini maaana ya MUNGU??,
 
Jamani hali bado tata mpaka muda huu hakuna dalili yeyote ya matumaini tuendelee kuvumilia
 
we Dr lakini akili huna yaaani MUNGU atoe maono alafu mumwambie aje aoneshe ndege ilipo. au mnajua tb joshua akiamka asubuhi anakulupuka na kutangaza maoni bila kuambiwa na MUNGU, arafu amuhulize wamesema waoneshe ilipo!!!!!!!!!?medical attendant mnashida sana
Nianze na ww..mi ndo maana siwapendi mnajidai mmeokoka angalia ulivyoongea kwa dharau na mipasho mara akili sina mara medical attendant...hapa nimefunga mjadala na ww ukijifunza heshima, kuheshimu wengine na nini ndo tutaendelea...unajenga picha mbaya kwa wafuasi wa tb joshua...kajifunze kwanza maandiko vzr hasa hilo la kuheshimu watu hata kama wanakupinga
 
Wewe usivyo muheshimu mwezio wewe unataka kuheshimiwa tazamu uzi za majibu yako zote ulizo andika!!!
 
Watakubali kuwa TB Joshua ni nabii wa nyakati hizi hata kama hawataki'

Mmeumbuka hakuna cha vipande vya ndege wala kunguru huyo nabii wenu ni km kakobe au kibwetele
 
hizi ni za kupika weka kutokea emmanuel TV

Soma Methali 14:12 Njia unayodhani kuwa ni sawa mwishoni yaweza kukuongoza kwenye kifo. Pia nawashauri watu wasome Zab 1, Mungu wetu ni mwenye huruma sana kama huna kipawa cha kutambua nani nabii wa kweli na nani si wa kweli naomba watu msimjaribu Mungu, wale tunaoona TB Joshua ni nabii wa kweli tuendelee na maombi amini ipo siku asiyeamini atasema nimeamini, barikiweni watumishi wote wa Mungu
 
Back
Top Bottom