REMSA
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 2,579
- 956
darasa la 7,
me bado nambeza
Kumbeza kwako hakutabadilisha ukweli kwamba TB Joshua asiwe nabii wa Mungu wa nyakati hizi za mwisho
darasa la 7,
me bado nambeza
vipande vinavyozaniwa ni vya air malasyia vimeanza kuonekana bahari ya Indi kama alivyo tabiri mtumishi wa MUNGU TB JOSHUA
aibu kwa waliomkweza na kumtolea maneno ya kashfa
source. CNN
angekua mtabiri anasaiidia angepanda ndege au angetuma msaidizi wake ...aende bahari hindi aoneshe ndege ippo hapa....hii nyingine hata mm naweza
A specialist in deep sea recoveries tonight told how he feared the plane may never be found.David Mearns, from Blue Water Recoveries, said he felt the "window is closing".Speaking on BBC show Newsnight, he said: "Even a couple of days ago I thought that it would be very difficult and they really have to get lucky."It is really getting very tight."
Missing Malaysia Airlines plane live: CCTV shows pilots going through security as officials say missing plane 'could have LANDED' - Mirror Online
Follow us: @DailyMirror on Twitter | DailyMirror on Facebook
Tb.Joshua is the real Man of God, Hilo lipo wazi mbishe au mkatae ukweli utasimama milele, Ajabu eti watu wanashangaa juu ya miujiza anayofanya! Kwani hamjui Yesu alihaidi nini juu ya wale wanamuamini? Hujui wenye imani wana ahadi ya kufufua hata wafu?
LET LOVE LEAD.
Australia's deputy prime minister Warren Truss says the objects spotted on the satellite images yesterday could have sunk.hayo ni ya binaadamu .hivi rada za urusi na marekani zimeshindwa kabisa!!!! pamoja na kwenda mwezini!!!mda si mrefu itaonekana!!!
Unajua Mungu wao anasikia kiarabu tu. Na ndio maana wanaswali kwa kiarabu tu.Naona Waislamu wanatokwa povu tu!
Hahaha Na Bado.....
we Dr lakini akili huna yaaani MUNGU atoe maono alafu mumwambie aje aoneshe ndege ilipo. au mnajua tb joshua akiamka asubuhi anakulupuka na kutangaza maoni bila kuambiwa na MUNGU, arafu amuhulize wamesema waoneshe ilipo!!!!!!!!!?
Utumbo wa kuku.
wanasubili wajilipue waende peponi wapewe bikira 40 ndio Walivyo aidiwa
masikini wenzangu wanamtetea Nabii Bilionea toka katika bara masikini zaidi Duniani..
Tajiri kuingia Peponi ni sawa na .................................
ni mtamu mno,kumbe umeshaula!
arafu !
amuhulize!
kweli mkuu shule imekukubali!
weka pichaWatakubali kuwa TB Joshua ni nabii wa nyakati hizi hata kama hawataki'