Malaysia airplane: Utabiri wa Prophet TB JOSHUA WATIMIA

Malaysia airplane: Utabiri wa Prophet TB JOSHUA WATIMIA

Ni aibu kubwa kwako na kwa wengine mnaoamini nabii wa uongo, who told you vimeonekana? Hkn hicho kitu, si alisema iko chini ya bhr? Leo tena kabadili hawa manabii njaa hawa

...why?...

chini.juu.ndani ya bahari
njaa!!!soma idadi ya misahada anayotoa ikiwamo nyumba, gari ,masomo.chakula
 
Mchawi wa kuruka na ungo
Mganga wa kienyeji
Mwanga
Mtapeli wa mazingaumbwe
Mkazaji waumini wake
Mwizi wa kiimani
Jambazi la mapenzi ma mali za watu
Mtabiri wa tunguli
Mzunifu
Muungo
Hizi ni sifa za manabii wa uongo wa kileo
 
walionazo mwawajua!!.
walio WAKE anawajua nao wamjua
 
Habari kama hizi inakupasa kufuatilia kwa kina tena source mbalimbali lakini ukusikia tu habari za jujuu lazima utamuamin TB.Hebu fanya utafiti kwanza baada ya hapo ndipo utafahamu kama utabiri ni wa kweli.
 
we hukusikia waziri wetu alienda huko, na wakubwa wa nchi mbalimbali wanampa tunzo
 
yesu ni mfalme na mfalme awezi kuwa maskini na ufalme wake sio wa hapa

Mfalme ambaye hakuwa na Ikulu wala hata 'section' moja ya Jeshi !??
Mfalme aliyekamatwaa na kufikishwa Mahakamani bila kutetewa !??
Mfalme aliyekuwa akitozwa kodi na Kaizari !??
 
Mfalme ambaye hakuwa na Ikulu wala hata 'section' moja ya Jeshi !??
Mfalme aliyekamatwaa na kufikishwa Mahakamani bila kutetewa !??
Mfalme aliyekuwa akitozwa kodi na Kaizari !??

ahaa!! deal nzuri ni ya kujilipua au kumwagia watu tindikali hapo vp ally
 
ahaa!! deal nzuri ni ya kujilipua au kumwagia watu tindikali hapo vp ally

umeshindwa kujibu hoja eeeh....! Mgalatia banaa !
Nyie kwenu mungu ni mzaha, maana mna picha yake mnanunua dukani na Nabii pia mzaha ! Wapo mpaka Mwenge na Loliondo.
 
umeshindwa kujibu hoja eeeh....! Mgalatia banaa !
Nyie kwenu mungu ni mzaha, maana mna picha yake mnanunua dukani na Nabii pia mzaha ! Wapo mpaka Mwenge na Loliondo.

nyie wenu ukijilipua unapata bikira 40 anajua kwenye uzinzi amjambo atawakamata tu.ila usikasilike mi kujibu ni mtaalamu kidogo
 
Unasemaje kuwa umetimia wakati umesema vipande VINAVYODHANIWA kwani china nao si walisema lakini ikawa sivyo kama kweli yeye ana maono kweli si aseme mahali halisi ilipo Dunia nzima inahangaika ye anapiga tu bla bla hivi ukisema mwaka huu kuna basi litaanguka barabara ya mbeya-dar na kuua watu utakua umetabiri kweli? "WATU WANGU WANAANGAMIA KWA KUKOSA MAALIFA"
Huyo jamaa amejikinai kwa kulitukuza jina lake badala ya UTUKUFU WA MUNGU,
 
Hee! Huyu jamaa ashakuwa MUNGU?

jaribu kuelewa usikurupuke kama wenzako wanao sema YESU SIO MUNGU
neno limetoka kwa MUNGU yeye amewakilisha sasa ulitaka je.....
 
Binafsi sijaona kutimia kwa utabiri wowote hapo. Yaelekea huyu jamaa anafuatilia sana vyombo vya habari vya magharibi. Vilishasema ndege ile haikuwa kule walikokuwa wanaitafuta na walikuwa wanahamishia msako maeneo ya India. Lakini hata hivyo.dalili zinazojitokeza sasa ni za kupatikana kwa mabaki ya ndege ile kule Australia, jambo ambalo huyu nabii wenu hakuwahi kusema. Haihitaji kuwa na PhD kufahamu India na Australia ni nchi ziko mbalimbali sana!

Hili lilitabitiwa toka mwaka jana mkuu.
 
Nakumbuka alisema kwamba Asia should be careful in their airlines.....I know the country and I will send a letter through the embassy..hapo ni mwaka jana.i hope he did lakini imani za watu na mambo ya utabiri huwezi jua wali ignore...nakumbuka hata kifo cha michael jackson alimtuma mtu amwambie ni rafiki wa karibu lakini yule mtu hakufika kwa michael jackson.
Kama hayo uliyo andika ndiyo kigezo cha kuupigia chapuo huo unaoita utabiri,hapo hakuna utabiri Asia ni bara kubwa sana lina nchi nyingi zenye ndege nyingi sana na misukosuko ya angani kwa pande hizo ni mingi sana labda kidogo ungeifikirisha akili yangu katika Hilo kwamba aliandika hiyo barua inayo ihusu hiyo ndege na nchi ya Malaysia! Labda tuanzie hapo.
 
Back
Top Bottom