darasa7
JF-Expert Member
- Sep 29, 2013
- 395
- 61
- Thread starter
- #281
Nimemsikiliza LIVE hivi punde TB Joshua katika Emmanuel TV,amesema bawa la ndege limekuwa likielea kusini mwa India baharini kati ya India na Indonesia. Alisema sababu ya ndege kupata ajali ni uzembe kabla ndege kuruka ilikuwa na hitilafu ambayo hawakuigundua mainjinia ikiwa uwanjani,hebu tusubiri .
twasubili
