Malaysia airplane: Utabiri wa Prophet TB JOSHUA WATIMIA

vipande vinavyozaniwa ni vya air malasyia vimeanza kuonekana bahari ya Indi kama alivyo tabiri mtumishi wa MUNGU TB JOSHUA
aibu kwa waliomkweza na kumtolea maneno ya kashfa
source. CNN

Hongera darasa la saba... tupe updates ilikuaje na ile ya kiongozi wa serikali kutekwa East Africa nchi karibu na Kenya??
 
vipande vinavyozaniwa ni vya air malasyia vimeanza kuonekana bahari ya Indi kama alivyo tabiri mtumishi wa MUNGU TB JOSHUA
aibu kwa waliomkweza na kumtolea maneno ya kashfa
source, CNN

Lete source kuwa vipande vimeanza kuonekana.
 
Unasemaje kuwa umetimia wakati umesema vipande VINAVYODHANIWA kwani china nao si walisema lakini ikawa sivyo kama kweli yeye ana maono kweli si aseme mahali halisi ilipo Dunia nzima inahangaika ye anapiga tu bla bla hivi ukisema mwaka huu kuna basi litaanguka barabara ya mbeya-dar na kuua watu utakua umetabiri kweli? "WATU WANGU WANAANGAMIA KWA KUKOSA MAALIFA"

hawataki kwenda kumuliza we ni mmoja wapo wasiosadiki
 
vipande vinavyozaniwa ni vya air malasyia vimeanza kuonekana bahari ya Indi kama alivyo tabiri mtumishi wa MUNGU TB JOSHUA
aibu kwa waliomkweza na kumtolea maneno ya kashfa
source. CNN
Jamani Tanzania tunakwenda wapi? Viongozi na wasomi mko wapi? Mbona tunaangamia huku tunajiona? Mwanafunzi anamaliza elimu ya sekondari (na si ajabu hata chuo kikuu) hajui kuandika jina la bahari ambayo sehemu yake iko katika nchi yake? Na si ajabu amezaliwa na kukulia hapo hapo Dar! Uhuuuuuuuuu! Nimeshangaa kweli kweli!
 
Pastor TB Joshua Predicts Chelsea Win In UEFA Champion's League Final | Latest Nigerian News Online | Live In Naija

Alafu matokeo yalivyokuja ndivyo sivyo hakukosa cha kujibu just kama alivyosema hapa hapa kwenye huu so called utabiri yaani hakusema directly ni wapi nadhani alitaji anywhere ............ to Indian Ocean alafu akaongezea any moment from now.., sasa sijui hio moment ilikuwa haijafika ndio imefika sasa ?

hizi ni za kupika weka kutokea emmanuel TV
 
Jamani Tanzania tunakwenda wapi? Viongozi na wasomi mko wapi? Mbona tunaangamia huku tunajiona? Mwanafunzi anamaliza elimu ya sekondari (na si ajabu hata chuo kikuu) hajui kuandika jina la bahari ambayo sehemu yake iko katika nchi yake? Na si ajabu amezaliwa na kukulia hapo hapo Dar! Uhuuuuuuuuu! Nimeshangaa kweli kweli!

indian Ocean kwa kiswahili inaandikwaje?
 
t.b joshua ameshatabiri rais wetu ajaye ni edward lowassa .
 
Nikweli Lakin Chelsea ilichukua ubingwa kwa kuifunga Bayern munich
 
Pastor TB Joshua Predicts Chelsea Win In UEFA Champion's League Final | Latest Nigerian News Online | Live In Naija

Alafu matokeo yalivyokuja ndivyo sivyo hakukosa cha kujibu just kama alivyosema hapa hapa kwenye huu so called utabiri yaani hakusema directly ni wapi nadhani alitaji anywhere ............ to Indian Ocean alafu akaongezea any moment from now.., sasa sijui hio moment ilikuwa haijafika ndio imefika sasa ?

sasa mbona facts zinaonyesha alipatia. 2012 chelsea alimfunga bayern munich champs league final.
 
vipande vinavyozaniwa ni vya air malasyia vimeanza kuonekana bahari ya Indi kama alivyo tabiri mtumishi wa MUNGU TB JOSHUA
aibu kwa waliomkweza na kumtolea maneno ya kashfa
source. CNN

Usikurupuke; fuatilia habari to its logical and credible phase kabla ya kupost njozi hapa; leo survaillance planes zimeshinda eneo hilo na kurudi maskani bila mafanikio! watarudi huko tena kesho kujihakikishia kwama kweli zile debris sio mabaki ya hiyo ndege na zoezi hilo linakoma kesho.
 
ehee yamekuwa hayo tena!!!
povu la nini tena
ni facts, ukiwa bbwege unaamini kila ubwege unaopita mbele yako

thread yako imejaa mambo ya kibwegebwege

huko dalali wa unajimu kwa kumtumia mungu anawatumia vibaya sana nyie
 
hawataki kwenda kumuliza we ni mmoja wapo wasiosadiki

suala hapa ndugu sio hawataki kwenda kumuuliza,ktkt hali ya taharuki waliyonayo wa Malaysia,unategemea wa Malaysia wamtafute mtu?TB Joshua ni tajiri mkubwa tu,unadhani angeenda na ndege hadi Malaysia au china halafu akawapa taarifaaliyonayo hivyo vyombo vya kusearch wangemkataa?au hata kama asingeenda basi awaambie exactly wapi ilipo!mbona nchi nyingi tu wamejitolea tena bila kuombwa kwenda kusaidia buree bila malipo !si na yeye angefanya hivyo!!unadhani kwamba kila mtu anamjua na kumfuatilia T B Joshua ulimwenguni?!wa malaysia amekuwa wakiikiliza na kufuaila kila aina ya maelezo wanaopewa kuhusiana na ndege ilyopotea mimi ni muumini mzuri wa dini na pia wa kuangalia baadhi ya miujiza yake ,lakini kwa hili kwa kweli HAKULIPA UZITO UNAOSTAHILI!
 
vipande vinavyozaniwa ni vya air malasyia vimeanza kuonekana bahari ya Indi kama alivyo tabiri mtumishi wa MUNGU TB JOSHUA
aibu kwa waliomkweza na kumtolea maneno ya kashfa
source, CNN

darasa la 7,
me bado nambeza
 
vipande vinavyozaniwa ni vya air malasyia vimeanza kuonekana bahari ya Indi kama alivyo tabiri mtumishi wa MUNGU TB JOSHUA
aibu kwa waliomkweza na kumtolea maneno ya kashfa
source, CNN

Kwahiyo CNN ndo wamesema kuwa utabiri TBJ umetimia. Mimi ninachojua, utabiri wa CIA ndio umetabiri na hata search efforts Zao zilielekezwa kusini MA India cum Indian ocean, salsa sijui huyo Temitobe Belusugn alielekeza juhudi zake wapi
 
Back
Top Bottom