Mmeumbuka hakuna cha vipande vya ndege wala kunguru huyo nabii wenu ni km kakobe au kibwetele
Omba Mungu akupe macho ya rohoni
Mmeumbuka hakuna cha vipande vya ndege wala kunguru huyo nabii wenu ni km kakobe au kibwetele
wapi nimeandika ni masikini...?
na pia hapa tunamzungumzia Yesu aliyeishi duniani..kabla hajafa,kufufuka na kupaa mbinguni..tunayazungumzia maisha aliyoishi alipokuwa hapa Duniani kwa kuwa naamini ndio mfano wa maisha tunayotakiwa kuishi.
aliweza kuwa na kila kitu lakini akaamua kuishi maisha ya kawaida ...kama tunamuamini Huyu Yesu sioni kwa kwa nini huelewi ninaposema kuwa Wakristo nia watu wanaomuamini na kUmfuata Yesu..Tanafanya alivyotuagiza tufanye na tuanishi kama alivyoishi Yeye...
Usiponielewa na Hapa itabidi nianze kupata mashaka kuwa labda Hatumuanini Yesu mmoja..
Omba Mungu akupe macho ya rohoni
Nawe omba mungu uijue kweli .....maana nyinyi hamsomi biblia ila mnabeba na kusubiri j2 padri akawasomee anayotaka yeye then read quran with an open mind.....ndo maana unaona kila kukicha mapadri wanasilimu lakn ni vry diffcult kuona shehe akirtadi
......jiulize kwanini?kwnn mtu anaacha malipo na malezi mazuri ya kanisa na kuja kwenye dini inayopigwa vita; inayohusishwa na ugaid ina makatazo mengi km zinaa, riba ,kuoa wake mpaka wa 4 ? Pombe
Watu wengi mnashindwa kufaham maana halisi ya meno UTABIRI,hakuna utabili unaofanyika baada ya tukio ama kuhusu kitu ambacho kimeshatokea,hizo tunaita hisia sio utabili.Utabiri wa huyo Joshua wenu ni HISIA,ama matarajio ambayo kila mtu anaweza kudhania.
Kwa nini asingetabir kabla ya tukio??,Mtaendelea kutapeliwa pesa zenu kwa ujinga wenu na nna imani SIKU MKIUJUA UKWEL MTAKUWA HURU,,,halafu cha kushangaza ni kwamba kwa nini huyo MUNGU,wake asimwambie kabla kwamba kuna hatar itatokea na kuua watu ili tahadhar ichukuliwe?? Mungu gan anaesaidia kueleza matokeo baada ya tatizo???,inamaana hata mungu hakujua kama litatokea??,ama alipenda litokeeee??,na kama ndege isipoonekana eneo la bahar ya hindi kama alivotabir hata mungu atakuwa alibahatisha hakuwa na uhakika?????,tafakar

ehee nyie mmetokea wapi mbona mnadandia kwa mbele.alishasema ilipo
Tulia mkuu uelimishwe usikubali kuibiwa na kuamini vitu kienyeji enyeji
kwahiyo kwakua hajibu kwaheshima wewe pia unamlipizia kisasi na kumjibu kwa kejeri?..wewe mlokole wewe,kwani yesu aliwausia nini?Wewe usivyo muheshimu mwezio wewe unataka kuheshimiwa tazamu uzi za majibu yako zote ulizo andika!!!
kwahiyo kwakua hajibu kwaheshima wewe pia unamlipizia kisasi na kumjibu kwa kejeri?..wewe mlokole wewe,kwani yesu aliwausia nini?
''mtu akikupiga shavu moja,mpe na jingine''.
Upendo,etc,sasa wewe mlokole wa sampuli gani?au mlokole wa kimagumashi?.
Acheni unafiki.
Wakati nasoma somo la critical thinking and argumentantion religion ilikuwa ni moja ya factor inayomfanya mtu asifikirie vizuri (to think critically) hili swala ndo nilalolina hapa kwa baadhi ya wachangia mada.
ehee nyie mmetokea wapi mbona mnadandia kwa mbele.alishasema ilipo
soma uzi hapo juu pameshatajwa