Malaysia airplane: Utabiri wa Prophet TB JOSHUA WATIMIA

darasa7

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2013
Posts
395
Reaction score
61
vipande vinavyozaniwa ni vya air malasyia vimeanza kuonekana bahari ya Indi kama alivyo tabiri mtumishi wa MUNGU TB JOSHUA
aibu kwa waliomkweza na kumtolea maneno ya kashfa
source. CNN
update check CNN
 
vipande vinavyozaniwa ni vya air malasyia vimeanza kuonekana bahari ya Indi kama alivyo tabiri mtumishi wa MUNGU TB JOSHUA
aibu kwa waliomkweza na kumtolea maneno ya kashfa
source, CNN
 
embu fafanua alitabiri juu ya nini?
 
vipande vinavyozaniwa ni vya air malasyia vimeanza kuonekana bahari ya Indi kama alivyo tabiri mtumishi wa MUNGU TB JOSHUA
aibu kwa waliomkweza na kumtolea maneno ya kashfa
source, CNN

So what??
 
So what? Kama huna cha kuandika kaa kimya. Nyamaza kabisa.
 
Kwani ndege si ilikua eneo ambalo linalosadikiwa kuwa na mabaki au?
 
vipande vinavyozaniwa ni vya air malasyia vimeanza kuonekana bahari ya Indi kama alivyo tabiri mtumishi wa MUNGU TB JOSHUA
aibu kwa waliomkweza na kumtolea maneno ya kashfa
source, CNN

Kila mtu ni mtumishi wa mungu ww hujitambui huyo hana jipya ni mfanyabiashara tu
 
vipande vinavyozaniwa ni vya air malasyia vimeanza kuonekana bahari ya Indi kama alivyo tabiri mtumishi wa MUNGU TB JOSHUA
aibu kwa waliomkweza na kumtolea maneno ya kashfa
source, CNN
alishachemka aliposema itapatika in few days....

BTW hata wewe ungetabiri hivyo

Tunatukuza mashetani
 
Unasemaje kuwa umetimia wakati umesema vipande VINAVYODHANIWA kwani china nao si walisema lakini ikawa sivyo kama kweli yeye ana maono kweli si aseme mahali halisi ilipo Dunia nzima inahangaika ye anapiga tu bla bla hivi ukisema mwaka huu kuna basi litaanguka barabara ya mbeya-dar na kuua watu utakua umetabiri kweli? "WATU WANGU WANAANGAMIA KWA KUKOSA MAALIFA"
 
Back
Top Bottom