Malaysia airplane: Utabiri wa Prophet TB JOSHUA WATIMIA

Malaysia airplane: Utabiri wa Prophet TB JOSHUA WATIMIA

mara nyingi ikitokea ajali ya ndege,sehemu ambayo inatafutwa mabaki ya ndege ni baharini.kwa hiyo hapo hakuna cha ajabu ya utabiri
 
vipande vinavyozaniwa ni vya air malasyia vimeanza kuonekana bahari ya Indi kama alivyo tabiri mtumishi wa MUNGU TB JOSHUA
aibu kwa waliomkweza na kumtolea maneno ya kashfa
source. CNN
The Australian Maritime Safety Authority has issued a statement about the end of the search for today.
The statement re-iterates that "the [satellite] images have been assessed as being credible but it is possible they do not relate to the search".
Today's search covered nearly 9,000 square miles and several merchant ships in the area are taking part in the mission.


Flight MH370: Debris near Australia could be from Missing Malaysia Airlines plane in the Indian Ocean - Mirror Online
Follow us: @DailyMirror on Twitter | DailyMirror on Facebook
 
hawataki kwenda kumuliza we ni mmoja wapo wasiosadiki

Basi kama mpaka aulizwe nina mashaka na huduma yake kama nchi 22 zimejitolea kusaidia kuitafuta tena kwa gharama kubwa za walipa kodi wao itakuaje kwa yeye ambaye anapewa maono bure? Ashindwe kujitolea akiwa kama mtumishi wa MUNGU
"WATU WANGU WANAANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA"
 
vipande vinavyozaniwa ni vya air malasyia vimeanza kuonekana bahari ya Indi kama alivyo tabiri mtumishi wa MUNGU TB JOSHUA
aibu kwa waliomkweza na kumtolea maneno ya kashfa
source. CNN

ahsante mganga wa kienyeji
 
suala hapa ndugu sio hawataki kwenda kumuuliza,ktkt hali ya taharuki waliyonayo wa Malaysia,unategemea wa Malaysia wamtafute mtu?TB Joshua ni tajiri mkubwa tu,unadhani angeenda na ndege hadi Malaysia au china halafu akawapa taarifaaliyonayo hivyo vyombo vya kusearch wangemkataa?au hata kama asingeenda basi awaambie exactly wapi ilipo!mbona nchi nyingi tu wamejitolea tena bila kuombwa kwenda kusaidia buree bila malipo !si na yeye angefanya hivyo!!unadhani kwamba kila mtu anamjua na kumfuatilia T B Joshua ulimwenguni?!wa malaysia amekuwa wakiikiliza na kufuaila kila aina ya maelezo wanaopewa kuhusiana na ndege ilyopotea mimi ni muumini mzuri wa dini na pia wa kuangalia baadhi ya miujiza yake ,lakini kwa hili kwa kweli HAKULIPA UZITO UNAOSTAHILI!

alikataliwa YESU NA MO'D itakuwa TB JOSHUA wao ndio waliotakiwa wamtafute ujumbe ulikuwa wa MUNGU ilitakiwa binadamu amtafute MUNGU
 
Unasemaje kuwa umetimia wakati umesema vipande VINAVYODHANIWA kwani china nao si walisema lakini ikawa sivyo kama kweli yeye ana maono kweli si aseme mahali halisi ilipo Dunia nzima inahangaika ye anapiga tu bla bla hivi ukisema mwaka huu kuna basi litaanguka barabara ya mbeya-dar na kuua watu utakua umetabiri kweli? "WATU WANGU WANAANGAMIA KWA KUKOSA MAALIFA"

Siyo MAALIFA, ni MAARIFA! badili L yako iwe R
 
Hongera darasa la saba... tupe updates ilikuaje na ile ya kiongozi wa serikali kutekwa East Africa nchi karibu na Kenya??

Unataka kusema hata habari iliyotokea South Sudan huijui? Unabii ulishatimia.
 
AMINA mtumishi remsa

lkn unajua kwa mungu karama ya utabiri haipo?kwahyo anaetabiri mabaya anatumia nguvu za giza..soo tunamweka wapi TB.JOSHUA je ni mtu WA mungu obvious ni mtu WA mungu coz ni kiumbe chake,je ni mtabiri,nabii mtabiri,au mtu mwenye pepo kali....
 
Kila tukikaa tuwe tunaomba mungu dunia inaharibika kutokana na matendo ambayo sio mazuri yanayotendwa na baadhi ya watu ambao hawaitakii mema.
 
lkn unajua kwa mungu karama ya utabiri haipo?kwahyo anaetabiri mabaya anatumia nguvu za giza..soo tunamweka wapi TB.JOSHUA je ni mtu WA mungu obvious ni mtu WA mungu coz ni kiumbe chake,je ni mtabiri,nabii mtabiri,au mtu mwenye pepo kali....

nabii joshua aliwaambiaje watumwa wa misri alipo wakuta wamejitengenezea mungu wa kuchonga wa dhahabu na nini kilitokea
 
suala hapa ndugu sio hawataki kwenda kumuuliza,ktkt hali ya taharuki waliyonayo wa Malaysia,unategemea wa Malaysia wamtafute mtu?TB Joshua ni tajiri mkubwa tu,unadhani angeenda na ndege hadi Malaysia au china halafu akawapa taarifaaliyonayo hivyo vyombo vya kusearch wangemkataa?au hata kama asingeenda basi awaambie exactly wapi ilipo!mbona nchi nyingi tu wamejitolea tena bila kuombwa kwenda kusaidia buree bila malipo !si na yeye angefanya hivyo!!unadhani kwamba kila mtu anamjua na kumfuatilia T B Joshua ulimwenguni?!wa malaysia amekuwa wakiikiliza na kufuaila kila aina ya maelezo wanaopewa kuhusiana na ndege ilyopotea mimi ni muumini mzuri wa dini na pia wa kuangalia baadhi ya miujiza yake ,lakini kwa hili kwa kweli HAKULIPA UZITO UNAOSTAHILI!

Umenena Mazito mkuu....huyu mtabiri kwao tu cyo mtu mkuuubwa kama hapa Bongo...ukufuatilia kwa makini nchini kwake ni kama Mlanguzi wa Imani za watu nafasi ya tatu au Nne kama sijakosea.....
 
Hakuna kitu kinachomtesa mwanadam kwa sasa kama huku kufuata mambo yasiyo na maana na kuendekeza ujinga na kutapeliwa kiholela kama huku.kuna siku niliwahi kumuuliza mdau mmoja hapa kwamba nikiona machafuko somalia ama sudan yamepamba moto nikasema kwamba hivi karibuni bom litalipuka mji mkuu wa sudan na kuiwa watu wengi je itapita muda gan halijalipuka???.,JOSHUA,anachofanya ni kusoma nyakati,kama ndege ilipotea angan na uwezekno wa kwamba ilianguka baharini kwa kuwa ilikuwa eneo flani inashindikana???,.,mbona watu wa hali ya hewa walitabili siku ya pili ya tukio kwamba itakuwa imeanguka baharin??,kwani waliambiwa na mungu??,achen kujishushia uwezo wa kutafakar na kumsingizia mungu wengu kila kitu.,


Mfano,tetesi za kuugua kwa mandela zilipokuwa hewan,ningetabili kwamba ,,siku za karibuni Bara la africa litakabiliwa na pigo kubwa ,kisha baada ya mwezi mandela akafariki nitakuwa mtabili???,,mbona mnajishusha kimawazo na kuendeshwa imani potofu.Nathubutu kusema Joshua ni tapeli na mtupu kabisa hana chochote.kama we unatumia ubongo wako vizur fuatilia hata video za uponyaji wake utaona ni wadada na wakaka walioandaliwa kwa tukio lile.et jini lepanda afu analiuliza linamwambia sema tena sijackia vizur,mara ohh unamaana gani?,jini linamjua hadi jina,jini linaomba kiti likae,jini linazijua sehem ndan ya kanisa na majina ya wahudumu hahahahaaaaa.,
 
Back
Top Bottom