darasa7
JF-Expert Member
- Sep 29, 2013
- 395
- 61
- Thread starter
- #221
Kama hayo uliyo andika ndiyo kigezo cha kuupigia chapuo huo unaoita utabiri,hapo hakuna utabiri Asia ni bara kubwa sana lina nchi nyingi zenye ndege nyingi sana na misukosuko ya angani kwa pande hizo ni mingi sana labda kidogo ungeifikirisha akili yangu katika Hilo kwamba aliandika hiyo barua inayo ihusu hiyo ndege na nchi ya Malaysia! Labda tuanzie hapo.
jaribu wewe kubahatisha kwa bara la africa uone kama ndege itadondoka.?