kumbe kutabili ni kipaji eehee na bongo flavor je
Nadhan uzi wangu hukuuelewa,na kama uliuelewa hukujua namaanisha nn.sijasema mahala kwamba naamini mungu hayo ni maneno yako.
suala hapa ndugu sio hawataki kwenda kumuuliza,ktkt hali ya taharuki waliyonayo wa Malaysia,unategemea wa Malaysia wamtafute mtu?TB Joshua ni tajiri mkubwa tu,unadhani angeenda na ndege hadi Malaysia au china halafu akawapa taarifaaliyonayo hivyo vyombo vya kusearch wangemkataa?au hata kama asingeenda basi awaambie exactly wapi ilipo!mbona nchi nyingi tu wamejitolea tena bila kuombwa kwenda kusaidia buree bila malipo !si na yeye angefanya hivyo!!unadhani kwamba kila mtu anamjua na kumfuatilia T B Joshua ulimwenguni?!wa malaysia amekuwa wakiikiliza na kufuaila kila aina ya maelezo wanaopewa kuhusiana na ndege ilyopotea mimi ni muumini mzuri wa dini na pia wa kuangalia baadhi ya miujiza yake ,lakini kwa hili kwa kweli HAKULIPA UZITO UNAOSTAHILI!
We ulidhani kutabil ni kuwa na wafuasi wanaokuletea sadaka kila wiki??,ulidhani utabiri ni kuonekana kwenye tv??,ulidha utabili mi kuwa na pesa ??,kojana huna hoja kajipange kumtetea Joshua tena lakini jua kwamba unadanganywa huku unaona.
yapi yasio ya kidunia.kuanguka kwa ndege!!? hayo ya wapi?
Nakumbuka alisema kwamba Asia should be careful in their airlines.....I know the country and I will send a letter through the embassy..hapo ni mwaka jana.i hope he did lakini imani za watu na mambo ya utabiri huwezi jua wali ignore...nakumbuka hata kifo cha michael jackson alimtuma mtu amwambie ni rafiki wa karibu lakini yule mtu hakufika kwa michael jackson.
india ocean watu walisema ni mbali aitawezekana
Nadhan uzi wangu hukuuelewa,na kama uliuelewa hukujua namaanisha nn.sijasema mahala kwamba naamini mungu hayo ni maneno yako.
ahaaa huyu jamaaa ndio wa ule uzi wa free Mason .huyu kajawa na mapepo na kubishana nae ni sawa na kubishana na mapepo mia labda kwa kufunga na kuomba
Kuna mbaba mmoja alisemaga kwa sky news siku ya pili baadda ya kupotea ndege hiyo na alihisi kama iligeuza ingekuwa imeenda huko Indian Ocean as ndio mafuta yangeishia huko au chochote kama kilitokea. Ila wengi hawakuzania kwa kusini as walifikiri kwa north ya ilipotoka ndipo labda irirudi kupita. Na leo kasema hashangai.
Wavuvi walioiona wamesema waliiona inapita kwa level ya mawingu na walimshangaa inakuwaje pilot apae chini hivyo na ndege kubwa. Ilikuwa usiku. Waliona mataa etc
kajifunge mabomu ukaripue kwenye ghorofa lililojaa watoto wazee hakina mama wajawazito na vijana ili uende peponi upate bikira 40 wa kuoa sijui ni kitanda kimoja au kila mtu na chake