kalou
JF-Expert Member
- Aug 22, 2009
- 4,992
- 3,882
anafanya biashara ngani? unajua ni kiasi gani cha msaada anaoutoa? usiamini katika umasikini
Yesu alikuwa tajiri?kama sio kwa nini? je aliamini katika umasikini...?
umeshawahi kumsikia Pastor MORRIS CERULLO...?alisaidia sana kusambaza injili Afrika...alisaidia sana masikini Afrika kwa namna mbali mbali...pia na yeye alikuwa bilionea kama huyo Emanuel..lakini unajua kilochokuwa kinachojificha nyuma ya utajiri wake mkubwa?
siamini katika umasikini ila pia siamini kama Yesu alikosea alipofananisha Ugumu wa Tajiri na ngamia kupenya kwenye tundu la sindano..