Malaysia airplane: Utabiri wa Prophet TB JOSHUA WATIMIA

Malaysia airplane: Utabiri wa Prophet TB JOSHUA WATIMIA

angekua mtabiri anasaiidia angepanda ndege au angetuma msaidizi wake ...aende bahari hindi aoneshe ndege ippo hapa....hii nyingine hata mm naweza
 
masikini wenzangu wanamtetea Nabii Bilionea toka katika bara masikini zaidi Duniani..
Tajiri kuingia Peponi ni sawa na .................................
 
ahaaa huyu jamaaa ndio wa ule uzi wa free Mason .huyu kajawa na mapepo na kubishana nae ni sawa na kubishana na mapepo mia labda kwa kufunga na kuomba

umenena mkuu kubishana na mtu ni ngumu hasa kwa anachoamini labda pawe na God intervetion
 
masikini wenzangu wanamtetea Nabii Bilionea toka katika bara masikini zaidi Duniani..
Tajiri kuingia Peponi ni sawa na .................................

mkuu huoni na wewe unaweza kuchukua fursa kama yake ili na wewe uwe bilionea
 
vipande vinavyozaniwa ni vya air malasyia vimeanza kuonekana bahari ya Indi kama alivyo tabiri mtumishi wa MUNGU TB JOSHUA
aibu kwa waliomkweza na kumtolea maneno ya kashfa
source. CNN
mbona kama vile umetokea chumbani kwake unavyoandika...kuna uzima kweli hapo ulipo na ukijiangalia maeneo nyeti yko?
 
Hivi haya mambo ya utabiri yana mantiki gani!? Kwanini wasiache tu mambo yatokee kama nature itakavyo?
 
pepo la udini lishindwe katika jina la bwana yesu
 
malizia basi mkuu...
Tajiri kuingia peponi.........................................................

we naona umetafsiri vibaya huo mstari kwani watu wa Mungu hawafai kuwa matajiri mana kuna neno lina sema utajiri na hekima ni kwake kitu kama icho
 
alishachemka aliposema itapatika in few days....

BTW hata wewe ungetabiri hivyo

Tunatukuza mashetani

Binafsi sijaona kutimia kwa utabiri wowote hapo. Yaelekea huyu jamaa anafuatilia sana vyombo vya habari vya magharibi. Vilishasema ndege ile haikuwa kule walikokuwa wanaitafuta na walikuwa wanahamishia msako maeneo ya India. Lakini hata hivyo.dalili zinazojitokeza sasa ni za kupatikana kwa mabaki ya ndege ile kule Australia, jambo ambalo huyu nabii wenu hakuwahi kusema. Haihitaji kuwa na PhD kufahamu India na Australia ni nchi ziko mbalimbali sana!
 
Ndege imelipuliwa mabaki yapo chini ya bahari na watu washachukua hela yao wamemaliza kazi waliyotumwa
 
Tumwamini Mwenyezi MUNGU Pekee na MANABII wake.

Turejee kitabu hiki tuone hasara za kutokuamini Maneno ya NABII.

These Men of GOD, don't Suggest, They speak with power. When speaking and prophesy, GOD is always behind their utterance.

2 Wafalme 7:19
 
Hajatabiri chochote badala yake alisema kama ilivyotanguliwa kusemwa na US kuwa huenda imeanguka Indian Ocean
 
God is still saying something! When God's servants speak forth, the wise listen Deuteronomy 18:22. In today's generation without faith and hope, the need for God's opinion is greater than ever.

We thank God that He is using Prophet T.B. Joshua as a mouthpiece to the world to prophesy concerning nations and the world at large, with the ensuing events in the coming weeks directly confirming their accuracy.

Endeleeni kutumia neno "manabii wa uongo" kuwatangazia watumishi wote wa Mungu ni manabii wa uongo!
Biblia imetoa miongozo mingi kumjua mtumishi wa Mungu.Badala ya ubishi mfatilie TB Joshua kupitia Emanuel Tv then muombe Mungu akufunulie ukweli kupitia Roho Mtakatifu badala ya kubishana tu kwa kutumia akili zako zinazoweza kuwa zimefungwa na yule mwovu ili uende nae kuzimu.

Ubishi upo toka zama na zama hata Musa pamoja na kufanya mengi ili Wana wa Israel wamuamini Mungu lakini mwisho wake waliamua kuabudu Miungu.





 
Back
Top Bottom