Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,879
Waganga wa kienyeji na wapiga ramli au wasoma nyota ndio hutabiri. Mtumishi wa Mungu haendekezi ujinga huu wa kutabiri
Safi sn!
Waganga wa kienyeji na wapiga ramli au wasoma nyota ndio hutabiri. Mtumishi wa Mungu haendekezi ujinga huu wa kutabiri
kutojua sheria sio kinga kimahakama
kwa nini na wewe usitumie!!!!
vitabu vya dini vinasemaje hakuna manabii waliotabili au ni povu tu
kizazi cha nyoka chataka ishara.hivi mlikuwa wapi wakati Nuhu anawaita kujenga safina hapo mngesema MUNGU anausika!!!!? au enzi za sodoma mji ukapigwa kiberiti napo MUNGU aliusika
na wewe chunga ubwege wako
Mkuu hii kitu kwangu ni ngeni, hebu naomba nifafanulie kidogo, alitabirije?vipande vinavyozaniwa ni vya air malasyia vimeanza kuonekana bahari ya Indi kama alivyo tabiri mtumishi wa MUNGU TB JOSHUA
aibu kwa waliomkweza na kumtolea maneno ya kashfa
source. CNN
hilo halina upinzan kabsa! AmenAmetabiri pia kuwa Raisi ajae Tanzania atakua ni Lowassa!
Alisema aliona a Bald Headed Man Scoring..., ambavyo hakuna a Bald Headed Man aliyefunga siku hiyo ingawa Chelsea walishinda
Tena kumbe hata hakutabiri Chelsea Kushindwa alipinga kwamba sikutabiri nimesingiziwa, basi watu wakambembeleza atabiri akasema okay..., nimemuomba Mungu anionyeshe kipindi cha kwanza..., I am seeing a bald head brother break into the net, with the help of a tall man" Nahisi hapo alikuwa anamaanisha Arjen Robben atafunga kipindi cha kwanza..., ila ikawa ndivyo sivyo....,sasa mbona facts zinaonyesha alipatia. 2012 chelsea alimfunga bayern munich champs league final.
Hongera darasa la saba... tupe updates ilikuaje na ile ya kiongozi wa serikali kutekwa East Africa nchi karibu na Kenya??
Hakusema ivo; mashabiki wa timu hizo walimzushia na kumchafulia jina. He is the true man of God. Kama kina Jeremiah
Tena kumbe hata hakutabiri Chelsea Kushindwa alipinga kwamba sikutabiri nimesingiziwa, basi watu wakambembeleza atabiri akasema okay..., nimemuomba Mungu anionyeshe kipindi cha kwanza..., I am seeing a bald head brother break into the net, with the help of a tall man" Nahisi hapo alikuwa anamaanisha Arjen Robben atafunga kipindi cha kwanza..., ila ikawa ndivyo sivyo....,
Mkuu darasa7 au unabisha hakusema hayo amesingiziwa ?
Source: ALASHOCK'S BLOG: CHAMPIONS LEAGUE FINAL: TB Joshua Finally Broke His Silence Prophesied 1st Half Match Between Chelsea Vs Bayern Munich Says Chelsea Needs More Prayers