Malaysia airplane: Utabiri wa Prophet TB JOSHUA WATIMIA

Ntuzu: Jeremiah ni Yeremia kwa kiswahili. Kama na huyu haumjui...basi siwezi kuendelea kubishana na shetani. Koz am light and ur darkness.

Na ninao uwezo wa kusema chochote ukaamka vibaya au kupata madhara ambayo yakakupelekea upate shida kubwa na hatimae uanze kuutafuta uso wa Mungu mwenyewe.

So backoff and bow down devil!!!!!!...

I command u in the name of our Lord,Jesus to stop those nonsenses...

Stop them in Jesus Name!!!!
 
Last edited by a moderator:

Mkuu nahisi dini umeikariri wa wala huijui.,nikiulize swali dogo?? .Kwa nn mungu hakumfunulia utabiri kabla ili kuookoa maisha ya abilia wale??,huoni kwamba huu ni mpango wa mungu??,,kwa nn unashabikia kitu bila kutumia akili japo kidogo??,we unajua maana ya utabiri??,.HAPO MUNGU AMEPATIA AMA AMEKOSEA??,KWA NINI AMUWEZESHE ATUWEZESHE KUJUA ILIPO NDEGE BAADA YA AJALI NA SIO KABLA???, Hapo unajifunza nn??.ukishindwa kujibu maswali hayo kubaliana na mimi kwamba hata mungu hakujua kama itapata ajali.
 
Last edited by a moderator:
Ntuzu: Acha bangi kaka. Mungu yupo na TB J ni The Great Prophet of this century. He is the true man of God.

Pepo linakusumbua; kama huna more details about Him. Tulia kaa kimya.

Usichume dhambi maksudi. Ni vibaya sana kuwasema hovyo watumishi wa Mungu.

Hapo unachotafuta ni kuyafanya maisha yako yawe magumu kiasi cha kwamba hata hao waganga wanaokuweka mjini washindwe kukusaidia.

Unachotafuta ni kumfanya Mungu akupe adhabu tosha ili uwe mtu wa kwanza kumkiri TB J ni mtu wa Mungu kama unavyomkana hapa sasa.

Ukiangalia shuhuda mbalimbali kwenye TV yake ya #EmmanuelTv ....wapo wasomi na watu maarufu wengi ambao walikua wakimponda kama wewe...na wanarudi kutubu na kufunguliwa.

Sikushangai...Muda wako haujafika.

Ukifika utaelewa tu kwamba Mungu yupo na anatumika kwa watu.

Prophet Jeremiah ; alidharauliwa na kupigwa na Mfalme baada ya kuupwa unabii wake. Lakin yote waliyoyakataa yalitokea.

Nakumbuka, yule mfalme alikua mbishi kama wewe. Lakin watoto wake wote waliuliwa na alifanywa kua mtumwa.

From Kingship to a Slave kama Jeremiah alivyotabiri.

Kila Mwanadamu ni kiumbe Wa Mungu!

Na sijui nikujibu nini baada ya kutanguliza neno bangi? Lkn ngoja niseme kidogo! Mimi nataka unipe andiko la Kwanini unamtetea Huyo TB J Kua ni nabii? Naona haunipi andiko Zaidi umekuja Na vitisho tu!

Naomba unipe Maandiko sio maneno tu!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu nahisi dini umeikariri wa wala huijui.,nikiulize swali dogo?? .Kwa nn mungu hakumfunulia utabiri kabla ili kuookoa maisha ya abilia wale??,huoni kwamba huu ni mpango wa mungu??,,kwa nn unashabikia kitu bila kutumia akili japo kidogo??,we unajua maana ya utabiri??,.HAPO MUNGU AMEPATIA AMA AMEKOSEA??,KWA NINI AMUWEZESHE ATUWEZESHE KUJUA ILIPO NDEGE BAADA YA AJALI NA SIO KABLA???, Hapo unajifunza nn??.ukishindwa kujibu maswali hayo kubaliana na mimi kwamba hata mungu hakujua kama itapata ajali.

wewe si juzi ulitoa uzi unao eleze free masoni kuwa hawana ubaya wowote na sadaka za kafara sasa utaaminije Mungu we baki na unachoamini acha kukashifu watumishi wa Mungu kwanza huna haki ya kumhukumu yoyote Mungu ndo anayejua anachofanya ni halali au la !!
 
Free ideas & Ntuzu ;: Namwomba Mungu wa Yeremiah, Abraham, Isac na TB Joshua awafundishe adabu: Na muwe wa kwanza kushuhudia kwa watu kwamba Mungu yupo na anatumika na watu wake aliowachagua.

#It shall come to pass. Na mtautafuta sana huu uzi siku moja.
 
Last edited by a moderator:
Ntuzu: Jeremiah ni Yeremia kwa kiswahili. Kama na huyu haumjui...basi siwezi kuendelea kubishana na shetani. Koz am light and ur darkness.

Na ninao uwezo wa kusema chochote ukaamka vibaya au kupata madhara ambayo yakakupelekea upate shida kubwa na hatimae uanze kuutafuta uso wa Mungu mwenyewe.

So backoff and bow down devil!!!!!!...

I command u in the name of our Lord,Jesus to stop those nonsenses...

Stop them in Jesus Name!!!!

Jeremiah Yule nabii Wa Mungu Wa kwenye bible Au kuna mwingine? Na km ndio Huyo ndio umlinganishe Na Huyu tb j?

Naona umekuja na vitisho vingi tu nataka nikwambie kitu kimoja nipe Maandiko sio maneno Au vitisho!

Zaidi ya hapo siwezi kukuelewa! Unanipa mfano Wa wasomi?!!! Wasomi ni watu gani mbele za Mungu? Ktk wanafunzi Wa yesu kuna wasomi wakubwa alio wachagua?

Acha kuabudu mtu, muamini Mungu tu!
 
Last edited by a moderator:
Free ideas & Ntuzu ;: Namwomba Mungu wa Yeremiah, Abraham, Isac na TB Joshua awafundishe adabu: Na muwe wa kwanza kushuhudia kwa watu kwamba Mungu yupo na anatumika na watu wake aliowachagua.

#It shall come to pass. Na mtautafuta sana huu uzi siku moja.

We acha mikwala mbuzi..watishe wajinga wenzio...---- ---- wewe
 
Last edited by a moderator:
Free ideas & Ntuzu ;: Namwomba Mungu wa Yeremiah, Abraham, Isac na TB Joshua awafundishe adabu: Na muwe wa kwanza kushuhudia kwa watu kwamba Mungu yupo na anatumika na watu wake aliowachagua.

#It shall come to pass. Na mtautafuta sana huu uzi siku moja.

Kumbe mungu ni wa watu wachache namna hiyo,sasa wako we ni yupi??ama unashare na mmojawapo kati ya hao ulowataja??,,maana umetaja watu na mungu wao.

Nikwambie kitu??,unapojadili mbo kama haya jaribu kutuliza jazba na hasira.na kiukwel ni kwamba huwezi kunipa laana yoyote,kwa sababu huna uwezo huo
 
Last edited by a moderator:
wewe si juzi ulitoa uzi unao eleze free masoni kuwa hawana ubaya wowote na sadaka za kafara sasa utaaminije Mungu we baki na unachoamini acha kukashifu watumishi wa Mungu kwanza huna haki ya kumhukumu yoyote Mungu ndo anayejua anachofanya ni halali au la !!

Nadhan uzi wangu hukuuelewa,na kama uliuelewa hukujua namaanisha nn.sijasema mahala kwamba naamini mungu hayo ni maneno yako.
 
Free ideas & Ntuzu ;: Namwomba Mungu wa Yeremiah, Abraham, Isac na TB Joshua awafundishe adabu: Na muwe wa kwanza kushuhudia kwa watu kwamba Mungu yupo na anatumika na watu wake aliowachagua.

#It shall come to pass. Na mtautafuta sana huu uzi siku moja.

Teh Teh Teh Teh!

Naona unakomaa na vitisho tu!

Lete Maandiko hapa ya utetezi Wa unabii Wa tb j!
 
Last edited by a moderator:
Kumbe mungu ni wa watu wachache namna hiyo,sasa wako we ni yupi??ama unashare na mmojawapo kati ya hao ulowataja??,,maana umetaja watu na mungu wao.

Nikwambie kitu??,unapojadili mbo kama haya jaribu kutuliza jazba na hasira.na kiukwel ni kwamba huwezi kunipa laana yoyote,kwa sababu huna uwezo huo

mvumilie tu, maana ame be brain washed anafikiri watu wote wajinga kama yeye...
 
Eti nabii anatabili mambo ya mpira! Ivi mpira na Mungu vinamafungamano? Mpira ni mambo ya kidunia!
 
Tb joshua ni mchumia tumbo kama walivyo na walivyokuwa wenzake mfano mzuri ni yule msamunge!
 
Back
Top Bottom