Malalamiko ya Wananchi kuhusu mabadiliko na gharama za vifurushi yaliyofanywa na mtandao wa Tigo mwaka 2021

Tigo nilishaachana nao kitambo Mimi na halotel halotel na Mimi ,TTCL wamenishawishi lile bando la siku 5 buku gb 1.2 ,dakika 10 all network na sms 50 angalau kidogo inasaidia
 
wamepunguza MB kwwnye vifurushi vya internet,, mm huwa na nunua vya mwezi GB za kutosha ila jana wamepunguza nimewahama! sirudii tena kwao.
Kumbe na wewe umeamua kuwapa talaka ya moja kwa moja basi tupo wengi tuliondoka nina washikaji kadhaa nao jana wamepiga chini line za TIGO
 
Leo nimesajiri laini ya airtel kabisa staki mchezo kabisa
Tigo niliwahama nikaachana nao.

Mwenye kujua vizuri vifurushi vya airtel atujuze.


YESU ni KRISTO
Screenshot_20210128-160042.jpg
 
Nimeona niandike hili juu ya wizi wa kampuni ya (TIGO) kwenye vifurushi vyao, haijarishi ni kifurushi cha dakika au ni cha sms au internet,

Wamekuwa wakipandisha vifurushi vyao bila kujali hali halisi ya maisha tuliyonayo

Jana nimejaribu kununua kifurushi cha internet
ambacho nimezoea kununua cha Tsh 3000 gb 2 kwa wk

Nimekuta kimepunguzwa gb1 na kubakia gb 1 kwa tsh 3000 nimeshindwa kununua kifurushi hicho bado najiuliza nihamie kampuni gani yenye unafuu wa vifurushi tofauti na hawa wezi @tigo_tz

View attachment 1688193
Halafu kile cha wiki cha 3000 wamepunguza bando mpaka Mb 500 (kutoka Gb 1)

Asee, tunahamia wapi sijui! Halotel!!!!
 
Back
Top Bottom