Kuhusu matangazo ya mtandao wa Tigo

muokotamatunda

JF-Expert Member
Apr 2, 2016
1,579
1,142
Ndugu zangu,

Nimejiuliza sipati majibu, hivi haya matangazo ya vifurushi vya mtandao wa Tigo Huwa siyaelewi.

Mbona kama yana ukakasi? mara jaza ujazwe, sasa hivi wapo na CHA WOTE. Hivi wenzangu mnawaelewa hawa jamaa au ni ushamba wangu tuu, khaa!.
 
Back
Top Bottom