Malaika walitoa wapi panga huko Mbinguni?

Ndio ujue kuwa ni hadithi za sungura!
 
Picha gani maana sisi ni wachoraji

panga la mbinguni na la duniani ni sawa
farasi wa kule na huku ni sawa?
jibu swali!
Ili wewe umuone Malaika itamlazima ajitokeze akiwa kama mwanadam ndio utamuelewa. so kwa nyakat hizo silaha zilikuwa hizo. lakin sasa hiv ikitokea ameonekana atakuja kwa picha ya sasa. kumbuka sisi na wao ni viumbe wawili wanaoishi maeneo mawili tofauti japo tunaweza kuwa sehem moja. macho.yetu na ufaham wetu vimepewa mipaka.so akija anakuja kwa picha ambayo utaielewa sio nyingine ili asikutishe ukashindwa kumuelewa.
 
Kwa hiyo akija sasa hivi anaweza kuja ameshika bunduki ya AK47 ?
 
Kwanza kaa ukijua kuwa malaika ni roho,kwahiyo roho haina jinsia ya kiume wala kike,ila inaweza kujigeuza kuwa chochote kile,upanga ni silaha na farasi ni nyenzo ya usafiri,na teknolojia ya Mungu kwa hivyo vyote hakuna cha duniani unaweza ukafananisha...
 
Kwa nini kwenye hayo maono walikuwa hawaoni bunduki, rockets, makombora, mabomu au drones wanaona panga tu ambazo ndizo zilikuwa zinatumika na wanadamu enzi hizo?
Ndo ujiulize sasa mkuu😃 pengine sasa hivi teknolojia imeadvance kuna atomic bomb.
 
Kwa hiyo akija sasa hivi anaweza kuja ameshika bunduki ya AK47 ?
sasa hiv somo limebadilika kutoka wokovu kwa njia ya vita mpaka wokovu kwa njia yakiroho. malaika akijitokeza leo anatokea kama mtu mwenye kuhitaji sio mtu wa vita.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…