Dunia inamuelewa Rais Magufuli Watalii zaidi ya 700 wakiwa na ndege 3 kutoka Israel wawasili nchini

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,137
Watanzania tutembee vifua mbele.

Zaidi ya watalii 700 kutoka nchi takatifu ya Israel wakiwa na ndege kubwa 3 wamewasili nchini kwa shughuli za kitalii.

Watalii hao wametua katika uwanja wa KIA saa 9 kamili alfajili ya leo.
Hongera Rais Magufuli kwa jitihada zako za kukuza utalii.

Source ITV habari!
 
SERENGETI, MIKUMI, MLIMA KILIMANJARO N.K VILIKUWEPO HATA KABLA YA MAGUFULI.

HAO WATALIU WAMELETWA NA VIVUTIO VYETU SIO MAGUFULI, LABDA KAMA MAGU KAWA KIVUTIO SASA HIVI.

WATU MMEJITOA UFAHAMU NI MWENDO WA KUSIFIA TU, SASA HIVI HATA UKIWA KITANDANI UKIPATA URODA UTAMSIFIA MAGU WAKATI ALIOKURIDHISHA NI MKEO

TUACHE UP.UMBAVU!
 
Wataacha shilingi ngapi hazina yetu? Hilo ndo napenda kusikia, isijekuwa wanafikia kwenye hoteli yao ambayo hailipi kodi na fedha pekee tutakayoipata ni wakinunua maji ya kunywa ya chupa.

Bila kujifunza jinsi ya kuchukuwa fedha ktk kwa hawa Watalii hakuna kitu tutafanya.

Nashauri kila kitanda kifungwe mashine ya kodi, yaani kwa kila kitanda kitakacholaliwa tuchukuwe asilimia kadhaa, kila sahani ya chakula watakachkula ikatwe kodi, n.k.
 
Unaamini kuwa awamu zilizopita hakukuwa na makundi ya watalii?

Mwaka 2014 utalii ulikuwa unakua kwa 15%. Kwa sasa utalii unakua kwa 3.6%.

Mwaka 2014 uwekezaji ulikuwa unakua kwa 28%, sahizi unakua kwa 4%.

Sekta ya kilimo 2015 ilikuwa na positive growth, sahizi ina negative growth.
 
Watanzania tutembee vifua mbele.

Zaidi ya watalii 700 kutoka nchi takatifu ya Israel wakiwa na ndege kubwa 3 wamewasili nchini kwa shughuli za kitalii.

Watalii hao wametua katika uwanja wa KIA saa 9 kamili alfajili ya leo.
Hongera Rais Magufuli kwa jitihada zako za kukuza utalii.

Source ITV habari!
Hongera sii kwa bodi ya utalii?????
 
Watanzania tutembee vifua mbele.

Zaidi ya watalii 700 kutoka nchi takatifu ya Israel wakiwa na ndege kubwa 3 wamewasili nchini kwa shughuli za kitalii.

Watalii hao wametua katika uwanja wa KIA saa 9 kamili alfajili ya leo.
Hongera Rais Magufuli kwa jitihada zako za kukuza utalii.

Source ITV habari!
Hapa kazi tu,piga kazi Raisi wetu tuko nyuma yako...
 
Kanuni tano za kuwa mwanachama wa CHADOMO
1. BISHANA
2. PINGA BILA HOJA
3. LALAMIKA KWENYE KILA JAMBO
4. KUWA NA ID ZAIDI YA MOJA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII
5. ZUSHA JAMBO LOLOTE DHIDI YA CCM BACKUP NI NA. 4
Kanuni moja yakuwa ccm Ni kuunga mkono kila jambo.
 
Watanzania tutembee vifua mbele.

Zaidi ya watalii 700 kutoka nchi takatifu ya Israel wakiwa na ndege kubwa 3 wamewasili nchini kwa shughuli za kitalii.

Watalii hao wametua katika uwanja wa KIA saa 9 kamili alfajili ya leo.
Hongera Rais Magufuli kwa jitihada zako za kukuza utalii.

Source ITV habari!
Ndege kubwa moja ina uwezo wa zaidi ya watu 700, kwa hiyo watakuwa wamekuja na ndege tatu kama ile yetu inaitwa dreamline

Airbus380-800 inabeba watu Zaidi ya 800
Mbuga za wanyama,na milima na mabonde vilikuwepo kabla ya mwalimu Nyerere na vitaendelea kuwepo hata baada ya hii karne tuliyopo.

Tutafute njia mbadala jinsi gani watu hawana mwamko na uchaguzi wa tarehe 24 mwezi huu mwaka 2019 na siyo kuleta vijimambo
 
Watanzania tutembee vifua mbele.

Zaidi ya watalii 700 kutoka nchi takatifu ya Israel wakiwa na ndege kubwa 3 wamewasili nchini kwa shughuli za kitalii.

Watalii hao wametua katika uwanja wa KIA saa 9 kamili alfajili ya leo.
Hongera Rais Magufuli kwa jitihada zako za kukuza utalii.

Source ITV habari!
Lkn huu Ujinga wenu ndugu zangu wa Kanda ya Ziwa dah, mnatuchosha!

South Africa Na Egypt zinazotembelewa na Watalii zaidi ya mil.10 kwa Mwaka Dunia haijawaelewa Marais Wao lakini Rais wenu ameeleweka kwa Kuwa ametembelewa Na Watalii 700???😀😀
 
Acha umbuzi, nchi takatifu ndio nini. Pumbafff.

Back
Top Bottom