Makundi ya watalii kutoka Israel yaanza kuwasili nchini kwa mapumziko ya mwaka mpya, aibarikie Israel atabarikiwa!

Waafrika mnaangamia kwa kukosa maarifa.sijaona umuhimu wa sentesi zako za mwisho kwamaana ya kwamba Israeli ni taifa takatifu lakini kwa tunaofahamu hii nchi imejaa kila aina ya ushetani ambao unafanyika duniani kote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wale wachina ....walotua KIA....matangazo mengiiii leo hii sijawahi sikia tenaa

kiuhalisia nyuzi/mada kama hizi zinaharibu sanaa huko idara ya utaliiii....hakuna nchi yeyote nilowahi sikia ikiwatangaza ama kutangazia uma kwamba wataliii...wadau fulani wamefika kiutaliiii....
 
Hivi mkuu na enzi za JK watalii walikua wanaenda kupokelewa na Waziri wa Utalii au mwenyekiti wa bodi?
wale wachina ....walotua KIA....matangazo mengiiii leo hii sijawahi sikia tenaa

kiuhalisia nyuzi/mada kama hizi zinaharibu sanaa huko idara ya utaliiii....hakuna nchi yeyote nilowahi sikia ikiwatangaza ama kutangazia uma kwamba wataliii...wadau fulani wamefika kiutaliiii....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama wewe Mkristo ni matusi makubwa kuiombea nchi ya Israeli na Wayahudi wabarikiwe kwani Wayahudi hawamthamini wala kumjali Yesu, kwao wao Yesu ni Mtume feki, ni tapeli tu...

Kumbuka pia kuwa Wao ndio waliomuua kwa kumbambikia kesi..
 
Hizo bata wakila kwa wingi hizo foreign currency hazibaki hapa nchini?

Tumia kichwa kufikiria na sio kufugia nywele.

Sent using Jamii Forums mobile app
We unajuaje watakula bata sana....proba tu hizo...hata huyo mmarekani anaweza kuja akasurvey akatembea....na pia hata hao waisrael wanaweza kuja wakaamua kula bata sana wakatembea.....hivyo hizo proposal zako hazina mashiko...usijipe kichwa saaana...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama wewe Mkristo ni matusi makubwa kuiombea nchi ya Israeli na Wayahudi wabarikiwe kwani Wayahudi hawamthamini wala kumjali Yesu, kwao wao Yesu ni Mtume feki, ni tapeli tu...

Kumbuka pia kuwa Wao ndio waliomuua kwa kumbambikia kesi..
Si kweli....waisraeli wote si wayahudi....Kuna wakristo pia....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa we utajuaje hayo mambo wkt uko huko kolomije,njoo 'site' ujione bata linavyoliwa.
We unajuaje watakula bata sana....proba tu hizo...hata huyo mmarekani anaweza kuja akasurvey akatembea....na pia hata hao waisrael wanaweza kuja wakaamua kula bata sana wakatembea.....hivyo hizo proposal zako hazina mashiko...usijipe kichwa saaana...

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baraka gani atakupa myahudi, asiyemtambua Yesu, na wanamtusi . Hujaishi na wayahudi ndio mana unajisemea tuu.

They hate black people with a passion

Sent using Jamii Forums mobile app
Hatujali they hate us or not sisi tunajojali ni Baraka wanayotuletea. We dont care and give a damn shit whether they hate us or not what we care is the BLESSINGS they bring to us.

GOD BLESS ISRAEL, AMERICA, THE KURDS AND SAUDI ROYAL FAMILY!
 
Back
Top Bottom