Makundi manne ya binadamu

Wewe mleta mada utakuwa extrovert sanguine, kwani ndio wanaamini mambo kirahisi bila kuumiza kichwa, kama unabisha lete uthibitisho wako hapa kuwa ulichosema ni kweli au ndio ume-copy na ku-paste mgodi unaotembea.

ha ha ha ha, ndo mana alivyosoma tu akaamini kabisa.

Mimi nimeukataa uchambuzi wote mana hauna ukweli kabisa.

Na kingine hakuna kundi linaloendana na tabia zangu. Japo tabia zangu nyingi zimetajawa lakini hazipo katika kundi moja. Na hata zilipo tabia zangu bado kuna tabia mule zimetajwa hazijawahi kuwa zangu na zipo kinyume kabisa na mimi.
 
Last edited by a moderator:
U wapi rafiki? Mimi nimekosa kundi. Nimeukataa uchambuzi mana houjapata sehemu ya kuniweka. Japo sifa zangu nyingi zimetajwa katika makundi tofautitofauti. Na kuna sifa sina pia katika makundi kunapopatikana baadhi ya sifa zangu.

nnavojua walau mtu unakuwa na sifa nyingi kutoka makundi mawili...huwezi ukakosa kote bwn,
hii ni theory ya siku nyng sana na ina apply kwa binadamu wote rather wengi,nishaisoma mi vitabu kadhaa,.nafikiri hata wanaosoma psychology inafundishwa pia
 
Si kweli, hakuna kundi linalofanana na sifa zangu kwa kila kilichoelezwa.

Maelezo aliyoleta mtoa mada ni kama utangulizi tu, bahati mbaya natumia simu hivyo siwezi kutoa maelezo marefu, ila kiufupi tu ni kwamba wewe upo kwenye group mojawapo wa hayo.
Nikikusoma katikati ya mistari kupitia thread na comment zako unaonekana ni pure sanguine ila una mchanganyiko wa choleric(sijui nje JF ukoje) au unaweza kuweka baadhi ya tabia zako hapa halafu nikwambie wewe ni nani kat yao
 
Nishasoma sehemu pia,binadamu huwi na hyo aina moja tu ya personality,unakuwa umemix na zingine,unaweza kuwa melancholic sanguine au melacholic choleric nk...

Ni kweli, na mtu anapokuwa sanguine maana yake asilimia kubwa ya yake iko hivyo, halafu hiyo tabia nyingine mfano cholerick anakuwa anayo ila sio kwa asilimia kubwa ndio maana anaitwa sanguine choleric.
 
h120

3016031-inline-how-to-care.jpg


3016031-inline-how-to-care-for-extroverts.jpg


Mkuu imenivutia sana mada yako! But nahisi hujaitendea haki mada yako, kitendo cha kuiweka MMU instead of Jamii intelligent ni kufanya mzaha wallah!

Waombe tu mods waipeleke jamii intelligent ingawa ina kapart cha mapenzi! Hapa haina shabiki, ukitaka shabiki hapa njoo na skendo na sio somo!

Cc: Invible!
:focus:
Mkuu nimesearch search na kupata cha kuengezea!

Ukiachia hayo makundi makuu mawili [introvert and extrover] kuna kundi la tau hapo [inbetween] kitaalamu wanaitwa Ambiverts!

AMBIVERTS--THE IN-
BETWEENS THAT MOST OF
US ARE PROBABLY CLOSER
TO.

Since introverts and
extroverts are the extremes
of the scale, the rest of us
fall somewhere in the
middle. Many of us lean one
way or the other, but there are some who are quite
balanced between the two
tendencies. These people are
called ambiverts.

The last time I took a
personality test, I was
smack-bang in the middle:
49% extroverted, 51%
introverted. It's hard to get
more middle ground than that! (if you're curious, you
can try this quiz to see where you fit on the scale)

So let's look at how an
ambivert compares.


Ambiverts exhibit both extroverted and introverted tendencies. This means that
they generally enjoy being
around people, but after a
long time this will start to
drain them. Similarly, they
enjoy solitude and quiet, but not for too long. Ambiverts
recharge their energy levels
with a mixture of social
interaction and alone time.

Though ambiverts seem to
be the more boring
personality type, being in
the middle of everyone else,
this balance can actually be
a good thing. A study by Adam Grant, author of Give and Take: A Revolutionary Approach to Success, found
that ambiverts perform
better in sales than either
introverts or extroverts.
Ambiverts actually closed
24% more sales.

The commonly held myth
that being highly
extroverted is important for
a salesperson is actually
untrue, since extreme
extroverts lack the balance of an ambivert, which helps
them to use varied
approaches to closing a sale.

On another note, we've
explored before that simple productivity tips might not
work in the same way they
do for introverts versus
extroverts. But knowing
where you are on the scale
can make a big difference in improving your daily
productivity outcome.
...

[Ktk mada] it seems extrovert ni watu duni for somehow. But kiukweli hata extrovert ni watu wazuri!

Hayo nimeyatoa hapa: Are You An Introvert Or An Extrovert? What It Means For Your Career | Fast Company | Business + Innovation

Cc: Mshinga!
 
Last edited by a moderator:
nakupongeza kwa post yako maana 99.8 ya fact ulizozitoa ni kweli juu ya hiyo mada! mm nimefanya na naeneldelea na tafiti juu ya personality! nataka kufahamu zaidi, japo naandelea kufuatilia! jaman wanajamvi achen uvivu wa kusoma tips za psychology!!
 
Back
Top Bottom