Mashaxizo
ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha , mtalazimisha sana, A BIG NO. hata kidogo NARUDIA TENA, HAKUNA GROUP KATI YA HAYA UNAYOSEMA UMEGUNDUA.
kuhusu uaminifu, nadhani hata thread yangu ya story ya kweli juu ya mpenzi wangu hukuwahi kuiona.
uelewa wangu naujua mwenyewe, tatitizo ni kitu kimoja, my IQ is not to a normal extent na huwa siamini lolote mpaka hakili yangu ukubali baada ya kufikiri na si kuangalia aliandika nani ama alifanya utafiti nani,
hivi unajua kwa nini theories katika masomo yote zinabadilika kila siku zikisonga?
kwa kukusaidia tu, mara nyingi vitu vingi haviko 100% correct na ndio maana watu wachache sana wenye uwezo usio wa kawaida wa kufikiri ndio pekee wanaweza kufikiri beyond the line of normal thinking na mwisho wanafanya marekebisho kwa ushahidi na hapo theory zinabadilishwa.
mathalani, Newton toka afariki, ilichukua mud wa miaka mia mbili ndio mtu wa kumkosoa akapatikana na hakuwa mwingine bali ni sir EISTEN , NA HAKUNA UBISHI KUWA HAYO YOTE YALIYOELEZWA YANA MAPUNGUFU MAKUBWA SANA ILA KWA WATU WENYE UWEZO WA KAWAIDA WA KUFIKIRI HAWAWEZI KUONA NA LAZIMA WAKUBALIANE NA KILA KITU.
HIVI HUJIULIZI, MTU ANATENGENEZA KUNDI LA WATU WENYE AKILI FULANI ALAFU ANATOA SIFA ZAO KUWA KUNDI HILI WANAPENDA SANA KUVAA VITO NA UREMBO AMA MIKUFU,
JE HUONI KAMA NI KICHEKESHO? kuna maeneo hakuna hiyo mikufu ama hayo mavazi, na mavazi hayaongezi akili ila watu wanavaa kulingana na kinachopatikana kwenye soko ama eneo lile, huwezi kuniambia kwa kuwa usukumani,umasaini, hakuna watu wenye akili kiwango kinachotajwa kwa sababu tu eti hawavai mavazi ama nadhifu kwa kuwa apo mbugani wanachunga na maisha yao yamejengwa juu ya ng'ombe.
watu wanafanya utafiti ulaya alafu wana assume wamefanya utafiti dunia nzima na katika jamii zote, of which is vey wrong.
WANGEENDA KUFANYA UTAFITI KWA WAMANG'ATI AMA WABALIBAIGI AMA WASANDAWE USINGEWEZA KUONA WANATAJA MAVAZI, AMA MIKUFU YA GOLD MAANA HUKO NI KITENDAWILI PAMOJA NA KWAMBA KILA JAMII INA WATU WA AINA ZOTE.
ALAFU HAO WATAFITI KWA AKILI ZAO NDOGO WANASHINDWA KUJUA KUWA TABIA WAKATI MWINGINE ZINATEGEMEA NA TAMADUNI ZAJAMII FULANI, MALEZI, NK PIA MAVAZI NA UNADHIFU VIATEGEMEA NA MAMBO MENGI SANA, IKIWEMO UWEZO WA KIFEDHA KUNUNUA HIVYO VITU.
LEO NI WATU WANGAPI AMBAO WANAISHIA KUTAMANI TU VITU FULANI, ILA KWA KUWA HELA HAWANA WANALAZIMIKA KUVAA MAVAZI YA KAWAIDA KWA KUWA HAWANA HELA.
ANGALIA TABIA ZA WANAMZIKI, KARIBU WOTE WANAONEKANA KUVAA MAVAZI NADHIFU, LAKINI HUO NI UTAMADUNI WA KAZI YA MUZIKI ILA HUWEZI UKASEMA HIZO NI AKILI.
UTAMADUNI WA NCHI YA MAREKANI KATIKA MAVAZI NI TOFAUTI NA UTAMADUNI WA NCHIYA INDIA KATIKA MAVAZI.
NIISHIE HAPA.