Makundi manne ya binadamu

Makundi manne ya binadamu

Ukitaka kupata dondoo ya personality yako nenda kafanye test hapa kwanza :
Personality Test

Mku hao waongo! Nimefanya test yao na kunipa 50% kwa matokekeo yote sita!

Ni afadhali maelezo ya mada nafit 99.999% Kundi A kitoto cha B! [phlagmatic!]
 
Mku hao waongo! Nimefanya test yao na kunipa 50% kwa matokekeo yote sita!

Ni afadhali maelezo ya mada nafit 99.999% Kundi A kitoto cha B! [phlagmatic!]

Ulikuwa honest kweli mkuu? Anyway hizi personality huweza kuwa altered na mazingira ya ukuaji au utumiaji wa vilevi...do you have moods?
 
Mkuu ulevi si hubadili tabia kwa muda mchache tu? Au kuna zaidi ya hapo?
Yah kwa muda mchache. Lakini ukishakuwa mlevi sugu yaweza kuwa ni badiliko la muda mrefu. OK binafsi napendelea kujua kiundani zaidi attributes za personality fulani kama myer-briggs indicators and the likes. Hapo ndiyo naweza tambua kwa urahisi vitu kama uwezo wa kufanya maamuzi, tolerance, feelings, perception, etc.
 
Mimk najifahamu tokea mda kua temperament yangu ni MELANCHOLY
 
Mh!

Mi sijioni kama niko upande mmoja tu maana nimechanganya tabia kutoka makundi tofauti
 
Eti kila MTU anasema kuwa yeye ni introvert wakati hisabati chenga.
 
Asee safi sana nmemkumbuka fratel mmoja ambaye kwa sasa ni padr aliwah kutufundisha kuhusu hii mada
 
Nimeangukia hapo kundi 1 A. Ndio mana natunza siri mpaka nahisi space ya ubongo imejaa.
 
Back
Top Bottom