Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,587
Last edited by a moderator:
Unachanganyikiwa nini? Kwani lengo la kuweka camera ilikua nini au ulitegemea itakuonesha Tomm and Jerry
Hapo sijaelewa ina maana wewe nyumba yako ni danguro la watu Kuja kufanya ngono. Maana umesema ulitega Hizo Camera za pen moja sebuleni na nyingine chumbani na unamuona rafiki wa mke wako akiliwa tigo. Sijaelewa hapa.
Afadhali umetusaidia kumuuliza maana na mimi sikumuelewa hizo camera alitega wapi kwake au kwa huyo rafiki wa mkewe??
nilitega nyumban kwangu sebulen na chumban mke wangu shoga yake na njemba tall nyeus wakakaa sebulen sikusikia saut coz nilimute ili ireko siku nzima.then njemba na shoga yake wife wakaingia chumban kwangu
Mh! Tunaishi kipindi kibovu sana kimaadili, Mungu turehemu.
sio dangulo mke wangu kampa rafiki yake kitanda changu afanye mapenz na hawara yake ni hivyo
nashindwaku ku attach ni kalamu za kawaida viongoz wengi au walinz wanakua nazo kwenye mifuko ya shati au suti zao
nilimwamin sana huyu mwanamke
Chai isiyo na sukariUkisikia "chai" ndio hizi sasa