Makubwa yaibuka baada ya kutega camera ya kalamu chumbani

Makubwa yaibuka baada ya kutega camera ya kalamu chumbani

Hizi ni kalamu zenye uwezo wa kurekodi video na picha kwa mda mrefu.

Back to mkasa nilitega kalamu hizi moja sebuleni moja chumbani kilichotokea nikamuona rafiki wa mke wangu akiingia chumbani na mwanaume na wakazini kumbe yule mwanamke anatoa tigo japo siku niliyotembea nae alidai hajazoea.

Nichukue uamuzi gani ukizingatia nilishatembea nae hivi mke wangu nae hana jamaa wa nje maana rafiki yake nae kaolewa.

Am so confused nianzie wapi au niendelee kuumia maana nikimwambia naogopa kufukua makaburi.



alidai hajazoea' kumbe ulimuomba nyambafu
 
Nawaza tu kwa sauti; ikiwa ulitembea naye tena ukijua ni mke wa mtu na wewe u mume wa mtu; tena ukijua ni rafiki wa mkeo; Je, mliufanyia wapi huo uchafu? Nyumbani kwako au katika kitanda cha mume wa rafiki yake kama ambavyo yeye karuhusiwa na mkeo kufanya uchafu katika kitanda chako?

Ukinitoa katika kuwaza huku, nitarejea kutoa ushauri kiroho safi kabisa....
 
Hizo kalamu unauza bei gani mkuu, ngoja nije PM
 
Haya mambo kwa kizazi hiki yanawezekana,mwaka jana mtu aliniita guest,kufika tu kwa room mhudumu anauliza akalete bia ngapi,kataja kumi namuuliza umeanza lini kulewa hivi eti rafiki yangu fulani yupo nje ananisubiri nimalize gemu tuondoke,nilivaa nikatoka nduki maana nilijua mtungoo huoooooo
 
Pole buanaaa....
Sasa ikitokea ukaona video mkeo analiwa 071 si utavunja ndoa?

Achana na hayo mambo buanaa...

Anywai..kalam naeza ipata wapi hiyo? Shingap mkuuu

Andika google,SPY CAMERA.ZIPO KIBAO TUU HADI VIFUNGO MKUU.
 
Mkuu na huyo bado una muita mkeo..?
Ama kweli hayo ndio matokeo ya kuchukua mademu
wa kwenye vigodoro na khanga moko show.
Ndio maana nasema huyu jamaa atakuwa mjinga kuendelea kumuita huyu ni mke na bila shaka na yeye hufadhiriwa na rafiki yake kufanya uchafu kama huo kwa rafiki yake..!

Mke mwenye akili kama hizi ni wakuogopa sana..! Mjinga sana huyo..
 
Naomba uniwekee picha ya kamera ya kalamu hii, niichunguze vizuri next tym nikikutana nayo nijue la kifanya
 
Mkuu wote hao ni wakezako huna haja ya kuumia kwani ulivyo mparamia rafiki ya mkeo yeye angejua asinge umia? Maana hapa maumivu yako sijaelewa (1)kunyinwa 07(2) mkeo kutoa chumba chako(3)mchepuko wako kuparamiwa tena kitanda chenu kilicho laaniwa? Naomba ufafanuzi mkuu.
 
Naomba uniwekee picha ya kamera ya kalamu hii, niichunguze vizuri next tym nikikutana nayo nijue la kifanya

nashindwaku ku attach ni kalamu za kawaida viongoz wengi au walinz wanakua nazo kwenye mifuko ya shati au suti zao
 
Unachanganyikiwa nini? Kwani lengo la kuweka camera ilikua nini au ulitegemea itakuonesha Tomm and Jerry

Ha ha haaa!!! Umenikumbusha ule msemo waswahili unaosema "Kuchamba kwingi mwishowe hutoka na mavi"
 
Back
Top Bottom