Makubwa yaibuka baada ya kutega camera ya kalamu chumbani

Makubwa yaibuka baada ya kutega camera ya kalamu chumbani

keep on confusing,,,alafu kaiweke kalam nakwamkeo il ufanye a bg confusion
 
Wewe sema tu mkeo ametifuliwa. 713 kiroho safi maana ulitega kwako
 
DAH ntafanyeje sasa nishasain kwenye shida na raha hapa mpska kifo tena

Like seriously? Mkeo anamuingiza shogaake chumbani kwenu afu shoga yuko na njemba tena anatapishwa mtaro??? Afu ata we nae una shida mana usha do na huyo mwanamke much less nawe ulimwomba tigo loh!!!
 
Ungemmwagia chai ya rangi ionekana ya zaman...
 
Hizi ni kalamu zenye uwezo wa kurekodi video na picha kwa mda mrefu.

Back to mkasa nilitega kalamu hizi moja sebuleni moja chumbani kilichotokea nikamuona rafiki wa mke wangu akiingia chumbani na mwanaume na wakazini kumbe yule mwanamke anatoa tigo japo siku niliyotembea nae alidai hajazoea.

Nichukue uamuzi gani ukizingatia nilishatembea nae hivi mke wangu nae hana jamaa wa nje maana rafiki yake nae kaolewa.

Am so confused nianzie wapi au niendelee kuumia maana nikimwambia naogopa kufukua makaburi.

chai hii
 
Uyu jamaa hamjamwelewa, hakuna sehem aliyoandika hiyo nyumba ni yake, ndio maana uyo anayemwita mkewe anauwezo wa kumruhusu rafiki kulalwa kwenye kitanda chao, na sio kwamba anaogopa kuuliza,ila anajua akifanya hivyo anafukuzwa sabab nyumba pamoja na mali zote ndan si zake ni za mkewe
 
Hivi wandugu hizi sredi kabla ya kuandika mnakuwa mna hariri kwanza.....au mnaandika wakati mkiwa mmeshapata alcohol vichwani.......maana katika akili ya kawaida sidhani kama mtu unaweza kuanzisha sredi ya namna hii labda iwe ni kwa kujitoa fahamu......
 
Umechanganyikiwa KWA kuwa ulilenga umnase mkeo ili umuache halafu umlete RAFIKI yake awe mkeo?KWA bahati mbaya ikamnasa usiyetaka anaswe,yaani huyo RAFIKI wa mkeo au?USICHEZE NA MUNGU!AMEKUDHIHIRISHIA MKEO,NA SHOGA YAKE WOTE WALE WALE TUU!
 
hopely ningeyaona madogo ila niliyaona makubwa sana oversize kabisa
 
Hii chai imetiwachumvi na ndimu halafu haikuiva vzuri iliiva upande m1 na ukoko haukutoka
 
mkuu siiuzi hiz zipo mbili kipind cha jk mwanzani zilikuepo madukan zina flash hiv unachomeka then unaziangalia.now hakuna madukan zimepigwa stop

Kwahiyo zilisambazwa na JK alipoondoka ameondoka nazo, basi ngoja niwahi kijijini kwake kabla hajasafiri nikapate japo kalamu mbili....
 
sio dangulo mke wangu kampa rafiki yake kitanda changu afanye mapenz na hawara yake ni hivyo

Wakati unamtafuna rafiki ya mkeo mpaka ukaomba tigo japo alikunyima, mlitumia kitanda gani?
 
Back
Top Bottom