Makosa tuyafanyayo ndani ya JF

Makosa tuyafanyayo ndani ya JF

Wachanganye
27b7160e-78d0-449e-ad46-d224d5e17c89.jpeg
 
Dear Dad 😢
Mimi nimejifunza vingi JF na njee ya JF kwamba watu hatufanani mitazamo,
Fikra zetu , mbali na malezi na kwamba tumelelewa mazingira tofauti

Humu kuna watu wameumizwa na hata hawajawahi kupona unadhani wataponya wengine?

Kuna watu hajui maana ya upendo moyo wake haujawahi kupokea upendo unadhani ataweza kupenda wengine ?

So nilichojifunza ni kupokea vitu positive ili nisipoteze energy yangu kwa watu ambao wenyewe tu wanaitaji msaada

Nb. Kuna wengine ni washenzi washenzi tu wanajifanya akili fyatu kumbe wako timamu📌
Fayaaa 🔥.
 
Nakumbuka ila una vyoona nafanana na mtu anaeweza kufanya hivyo?
Nimeumia sana hii mechi kuna mtu kaicheza njee ya uwanja 😭😭😭😭

Anyway hongera kurudisha Avatar hiyo ndio inakupendeza kama babu sio yule kijana mzungu😎
😅😅😅
Mechi imeahirishwa, nakupa points tatu na goli tatu😅😅
Aaah mambo ya avatar, unaweza kudhani nafanana na huyo mzulu, shauri yako😅
 
JF ni kama mtaani tu watu waliopo humu ni wale wale waliopo mtaani

1 .Wambeya wako hapa tena kwa jinsia zote Me na Ke

2. Wenye wivu na roho mbaya wako hapa huyu anaweza hata kuchukia jina la I'd yako au avatar au namna una vyoandika : huyu ni kama mgonjwa😁

3. kuna wajuaji hawa wanajua kila kitu mpka unachowaza🤔😁

4. Kuna wenye makasiliko huyu anaweza kukupurupka na kumwaga matusi kama njugu😀

5.Kuna wapenda utani wao mda wote wapo happy 😊 na kufurahi na wengine

6.kuna wanaosoma mada na comment kisha wanapita hivi hawa sio watu wa maneno mengi

7.kuna wapolee tu hata kwa comment zao 🤗

8.kuna Ma genius 👏 akiendika sehemu unasema tawile

9.Kuna wanaojiita wasomi
Wachambuzi wa mambo

10. Kuna vilaza
Vilaza promax

Cha msingi wewe JF unaingia kwa lengo gani ? Ingia ila huepukani na kukutana na watu tajwa hapo juu🤝
Hapo Kilaza Promax ni Lucas Mwashambwa!
 
Kuna wazee wa kuunganisha dots🤣🙌🏿 hawa jamaa ni wakandarasi wenye vipaji vya juu mno!
Kuna wapigaji.. Wako JF purposely kwa ajili ya kupiga.. Hawa wanamiliki lundo la ID
 
Back
Top Bottom