ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,449
- 41,364
Andika wewe mkuu mimi sio AI kwamba najua kila kitušHujaandika ndo maana nimeuliza!
Andika wewe mkuu mimi sio AI kwamba najua kila kitušHujaandika ndo maana nimeuliza!
Mtu wa mpira na yale ya yudizim.Andika wewe mkuu mimi sio AI kwamba najua kila kituš
Ila Ali kwamwe šāāļø
Basi wewe ni mwanaMtu wa mpira na yale ya yudizim.
ā½ļøā½ļø& shimo la tewa.Basi wewe ni mwana
sports & Mchungulia mapango
Nitarudi soonUnaenda wapi? Kuja hapa.
Safiišā½ļøā½ļø& shimo la tewa.
Kazi kweli kweliTunasamehe machoni kumbe rohoni tuna visasi
Tuna ID 3,3
Moja ya kulike
Ya pili ya kukandia
Ya tatu ya kutoa ushauriš¤Ŗ
Jeiefu ni kama kipoozeo tu... umetoka zako Job, ama uko bored unaingia kutoa stress ......
Siku hizi jf imebadilika mno.... sio kama ile ya zamani kunakuwa na hoja nzito, zimeshiba, mitazamo yakinifu... unajibiwa kwa hoja, kistaarabu !!magine now dume lintheafungua thread linasema mimi ni mzuri .... š š® kina hanzu n.k
šššmajitu ya siku hizi hayana shadow.. ule utisho haupo tena
Ni kiringeni au kilingeni?Karibuni kiringeni kwangu.
kuna wajuaji hawa wanajua kila kitu mpka unachowazaJF ni kama mtaani tu watu waliopo humu ni wale wale waliopo mtaani
1 .Wambeya wako hapa tena kwa jinsia zote Me na Ke
2. Wenye wivu na roho mbaya wako hapa huyu anaweza hata kuchukia jina la I'd yako au avatar au namna una vyoandika : huyu ni kama mgonjwaš
3. kuna wajuaji hawa wanajua kila kitu mpka unachowazaš¤š
4. Kuna wenye makasiliko huyu anaweza kukupurupka na kumwaga matusi kama njuguš
5.Kuna wapenda utani wao mda wote wapo happy š na kufurahi na wengine
6.kuna wanaosoma mada na comment kisha wanapita hivi hawa sio watu wa maneno mengi
7.kuna wapolee tu hata kwa comment zao š¤
8.kuna Ma genius š akiendika sehemu unasema tawile
9.Kuna wanaojiita wasomi
Wachambuzi wa mambo
10. Kuna vilaza
Vilaza promax
Cha msingi wewe JF unaingia kwa lengo gani ? Ingia ila huepukani na kukutana na watu tajwa hapo juuš¤
Dear Dad š¢kuna wajuaji hawa wanajua kila kitu mpka unachowaza
Hii iliniumiza sana!
Kuna member alipost uzi wake! Alikuwa anauza simu yake ili apate kodi ya nyumba! Alitaja aina ya simu na kiwango
Kuna members walikuja na comments za ajabu na za kuumiza sana
Kuna watu huwa ni wahitaji kweli na wanachoandika ni uhalisia mtupu.. Tujifunze kuwa na tafakuri kabla hatujaandika mitazamo yetu
āKilingeni
Pole umejaribu kuacha kutamaniKuna wakati tunatamani tulale ili tusahau na kuna wakati tunatamani tusahau ili tulalešŖ