Makosa tuyafanyayo ndani ya JF

Makosa tuyafanyayo ndani ya JF

Tunawaumiza wengine bila kujali
Tunawatuhumu wengine kujua...
Binadamu tyna tabia moja in common, kufurahia anguko la mwenzako, kutamani kila mtu apitie shida unazopitia.

Nyeti za Mshana zikiwekwa live hapa watu wataitana na kufurahia wiki nzima, just like that!!

Inasaidia kupunguza msongo na sonona kwa baadhi yetu!!
 
Nyeti za Mshana zikiwekwa live hapa watu wataitana na kufurahia wiki nzima, just like that!!😂😂😂🙌🏿
Binadamu tyna tabia moja in common, kufurahia anguko la mwenzako, kutamani kila mtu apitie shida unazopitia.

Nyeti za Mshana zikiwekwa live hapa watu wataitana na kufurahia wiki nzima, just like that!!

Inasaidia kupunguza msongo na sonona kwa baadhi yetu!!

Wengine watajifanya kuzijua mpaka michirizi🤣
 
kuna wajuaji hawa wanajua kila kitu mpka unachowaza

Hii iliniumiza sana!
Kuna member alipost uzi wake! Alikuwa anauza simu yake ili apate kodi ya nyumba! Alitaja aina ya simu na kiwango
Kuna members walikuja na comments za ajabu na za kuumiza sana
Kuna watu huwa ni wahitaji kweli na wanachoandika ni uhalisia mtupu.. Tujifunze kuwa na tafakuri kabla hatujaandika mitazamo yetu
Kama yule mwanamama aliyeomba ushauri kuhusu child support! Sijui kama kapona🤦🏽‍♀️
 
JF ni kama mtaani tu watu waliopo humu ni wale wale waliopo mtaani

1 .Wambeya wako hapa tena kwa jinsia zote Me na Ke

2. Wenye wivu na roho mbaya wako hapa huyu anaweza hata kuchukia jina la I'd yako au avatar au namna una vyoandika : huyu ni kama mgonjwa😁

3. kuna wajuaji hawa wanajua kila kitu mpka unachowaza🤔😁

4. Kuna wenye makasiliko huyu anaweza kukupurupka na kumwaga matusi kama njugu😀

5.Kuna wapenda utani wao mda wote wapo happy 😊 na kufurahi na wengine

6.kuna wanaosoma mada na comment kisha wanapita hivi hawa sio watu wa maneno mengi

7.kuna wapolee tu hata kwa comment zao 🤗

8.kuna Ma genius 👏 akiendika sehemu unasema tawile

9.Kuna wanaojiita wasomi
Wachambuzi wa mambo

10. Kuna vilaza
Vilaza promax

Cha msingi wewe JF unaingia kwa lengo gani ? Ingia ila huepukani na kukutana na watu tajwa hapo juu🤝
Umewasahau wenye bonge la dushelele na wapiga nyeto.
 
Back
Top Bottom