Makosa tuyafanyayo ndani ya JF

Makosa tuyafanyayo ndani ya JF

Tuhuma bila ithibati

Utani wenye uhalisia

Wivu wa kijinga
Shuku kisa chitchat

Maskhara yanapogeuka ugomvi
Umbea kwa usiyemjua vema
Mas nitch

Hisia zilizotafsiriwa kinyume!🤔😫😷
Mbona wale wa mahusiano wanaanza huku wamependana halafu wakiachana wanakuja kumwagana maungo yao humu hujawataja 😂 😂

Awkward Season 1 GIF by The Roku Channel.gif
 
Jeiefu ni kama kipoozeo tu... umetoka zako Job, ama uko bored unaingia kutoa stress ......
Siku hizi jf imebadilika mno.... sio kama ile ya zamani kunakuwa na hoja nzito, zimeshiba, mitazamo yakinifu... unajibiwa kwa hoja, kistaarabu !!magine now dume lintheafungua thread linasema mimi ni mzuri .... 🗑 🚮 kina hanzu n.k
 
JF ni kama mtaani tu watu waliopo humu ni wale wale waliopo mtaani

1 .Wambeya wako hapa tena kwa jinsia zote Me na Ke

2. Wenye wivu na roho mbaya wako hapa huyu anaweza hata kuchukia jina la I'd yako au avatar au namna una vyoandika : huyu ni kama mgonjwa😁

3. kuna wajuaji hawa wanajua kila kitu mpka unachowaza🤔😁

4. Kuna wenye makasiliko huyu anaweza kukupurupka na kumwaga matusi kama njugu😀

5.Kuna wapenda utani wao mda wote wapo happy 😊 na kufurahi na wengine

6.kuna wanaosoma mada na comment kisha wanapita hivi hawa sio watu wa maneno mengi

7.kuna wapolee tu hata kwa comment zao 🤗

8.kuna Ma genius 👏 akiendika sehemu unasema tawile

9.Kuna wanaojiita wasomi
Wachambuzi wa mambo

10. Kuna vilaza
Vilaza promax

Cha msingi wewe JF unaingia kwa lengo gani ? Ingia ila huepukani na kukutana na watu tajwa hapo juu🤝
 
Vilaza prompt

Cha msingi wewe JF unaingia kwa lengo gani ? Ingia ila huepukani na kukutana na watu tajwa hapo juu🤝
Hapo sijui nipo kundi gani?
 
Jeiefu ni kama kipoozeo tu... umetoka zako Job, ama uko bored unaingia kutoa stress ......
Siku hizi jf imebadilika mno.... sio kama ile ya zamani kunakuwa na hoja nzito, zimeshiba, mitazamo yakinifu... unajibiwa kwa hoja, kistaarabu !!magine now dume lintheafungua thread linasema mimi ni mzuri .... 🗑 🚮 kina hanzu n.k
Cha kufurahisha hao hao waliokuwa wanaandika hoja zenye mashiko wakati wa nyuma ndio hao hao wamebadili Ids na kuingia kwenye mfumo wa uandishi wa GenZ.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom