"Makosa"tunayofanya kwenye mahusiano

I buy e'thing in Kaizer's post but infidelity no!NO!NO! i beg! i beg! ibeg x10
Afu na wewe............ Anyway!

Taongea na Kaizer au Roya Roy wakuambukize CHEZUMWI labda utaingia kundini.
 
Hii nimeipenda...manake kiukweli watu wakishakaa wakazoeana kidogo basi inakua mazoea kufanya mambo kama jana na juzi kumbe kila siku inabidi uwe mbunifu..ila kuna wengine huanzisha timbwili ukileta mautundu sana hudhani umejifunzia kwenye mechi za ugenini...kumbe hii ni katika kuboresha...manake watu tunapendana tukiwa tuna malezi tofauti wengine bila kifo ya mende wanajua hakuna mapenzi kumbe kuna styles kama 999 za kula tunda na kuboresha mahusiano...mapenzi si uchafu coz wapenzi wengine huona uchafu kufanya oral sex si unajua tena mambo ya kutumia ulimi yanavyoweza kumchefua mtu hasa akikutana na mpenzi asiyejipenda kuwa soap soap so natoa rai kujiachia vilivyo na ukipata ujuzi ktk mechi za nje leta ndani kuboresha ila usinogewe ukawa researcher kila siku unataka ukalete mbinu mpya utaharibu ...

Ni hayo tu...kama wasemavyo wanywaji "drink responsibly" nasema "explore r
esponsibly"
 
Anza kukusanya za mbuzi....Ahadi ni Deni.

Sasa turudi kwenye mada.... wewe huwa unajiachia na mshiki au mpaka usome ma-journals?

Alichosahau mtukufu hommie Kaizer, ni kutoihusisha Valuu katika tendo hilo takatifu.:smile-big:
hehehehehehe!journal hizi bana hizi journal hizi......!
halafu kwenye valuer hapo ni FATAL MISTAKE KUTOIHUSISHA KABISA
 
CHEZUMWI...
CHE-mbechembe za...
ZU-ma
MWI-lini

kwa hapa tanzania huu ugonjwa umeingilia RHOMBO-MOSHI
Ilikua niende leo lakini na-postpone till futher notice...
Haya magonjwa ya ajabu ajabu lazima mtu uyakimbie...
 
Hii nimeipenda...manake kiukweli watu wakishakaa wakazoeana kidogo basi inakua mazoea kufanya mambo kama jana na juzi kumbe kila siku inabidi uwe mbunifu..ila kuna wengine huanzisha timbwili ukileta mautundu sana hudhani umejifunzia kwenye mechi za ugenini...kumbe hii ni katika kuboresha...manake watu tunapendana tukiwa tuna malezi tofauti wengine bila kifo ya mende wanajua hakuna mapenzi kumbe kuna styles kama 999 za kula tunda na kuboresha mahusiano...mapenzi si uchafu coz wapenzi wengine huona uchafu kufanya oral sex si unajua tena mambo ya kutumia ulimi yanavyoweza kumchefua mtu hasa akikutana na mpenzi asiyejipenda kuwa soap soap so natoa rai kujiachia vilivyo na ukipata ujuzi ktk mechi za nje leta ndani kuboresha ila usinogewe ukawa researcher kila siku unataka ukalete mbinu mpya utaharibu ...

Ni hayo tu...kama wasemavyo wanywaji "drink responsibly" nasema "explore r
esponsibly"
Dawa ya ugonjwa huo hapo kwenye bluu ni VALUU. Infedeletaz wote semeni Amina.

Mheshimiwa Valuu.... Twakuomba utusikie.
 
wafuatao ni wahanga wa CHEZUMWI:
1)ASPRIN
2)KAIZER
3)ROYA
4)KI-MEY
5)DOKTA
6)MUHASIBU
7)OSHENIKI

any man from rombo ataingia tu
 
hehehehehehe!journal hizi bana hizi journal hizi......!
halafu kwenye valuer hapo ni FATAL MISTAKE KUTOIHUSISHA KABISA
I here by command my fellow CHEZUMWI mhanga akaedit hii yuziful sred ili kutotumia VALUU iwe ni sehemu ya makosa kwenye mahusiano!

Kaizer Go edit Go!!
 
Nadhani makosa makubwa tunayoyafanya ni kuwapa partners wetu false expectations
 
Thank Ooh My Lord. Am a man from Rombo!!
KWA HUKU KWETU USALULE tunae mmoja tu ambaye tumeshamuweka quarantine kwa uchunguzi zaidi!vipimo vimethibitisha kuwa ana CHEZUMWI...!mgogoro ni kwamba hatokei rhombo sasa....

FIDEL80
 
Thank Ooh My Lord. Am a man from Rombo!!

Unajua nilikua na safari ya Rombo...nilivyoona Rhombo si nikadhan ni Rombo??? Safari yangu iko palepale...
Teamo ngoja nitafute atlasi yangu....
 
I here by command my fellow CHEZUMWI mhanga akaedit hii yuziful sred ili kutotumia VALUU iwe ni sehemu ya makosa kwenye mahusiano!

Kaizer Go edit Go!!

Hommie,

Valuu, beer and the like zipo BY DEFAULT tu post ingekuwa ndefu sana bana.....
:ranger::ranger:
 
KWA HUKU KWETU USALULE tunae mmoja tu ambaye tumeshamuweka quarantine kwa uchunguzi zaidi!vipimo vimethibitisha kuwa ana CHEZUMWI...!mgogoro ni kwamba hatokei rhombo sasa....

TEAMO

:amen::closed_2::closed_2:
 
Nadhani makosa makubwa tunayoyafanya ni kuwapa partners wetu false expectations

Kweli kabisa mkuu...na wakati mwingine mwanzoni mwa mahusiano. Ndo maana ni vizuri tangu mwanzo kuwa na objectives za mahusiano ili kuepuka dissapointments baadaye au boredom. maana objectives za infidelity na kwenye ndoa zinatofautiana
 
Nadhani makosa makubwa tunayoyafanya ni kuwapa partners wetu false expectations
kuna hili jambo hata mimi limenikuta sana (hasa kwa wanawake) CONFUSING HOPES WITH REALISTIC EXPECTATION, huwezi kuingia kwenye relationship na script mkononi. its ok kuwa na fantasies lakini kama zinasababisha dissapointment mara kwa mara basi unajiandalia mazingira ya kuharibu connection iliyopo, badala yake ni heri tu ku focus kwenye mazuri yaliyopo na yanayowezekana.
 
Back
Top Bottom