"Makosa"tunayofanya kwenye mahusiano

Si kila mtu anakosa akili muda fulani...?


which, can, rationally, be agreed, I mean hakuna ubaya kukosa akili kwa muda fulani...mbaya ni kukosa akili kwa muda wote, siyo hommie?
 
Wapwa na mabinamu

hili limenijia kichwani nikaona bora tulijadili kwa pamoja hasa wale waliopo wkenye mahusiano ya kindoa/GF/BF.

Ni hivi, kwanza wengine wanakuwa na matarajio ya juu mno dhidi ya mwenzake.....kwamba kila kitu kitakuwa perfect kila saa kila siku na miaka yote...hili sio kweli......ni utopia kufikiria hivyo na ni bora kijiandaa mapema kwa 'mabadiliko' yeyote yale

la pili, niende kwenye ishu nzima ya kumegana/kula tunda la kati....kuna wengine wamekremisha kuwa unaanza hivi, unashika hapa, chomeka chomoa and the like...KWISHA...yaani ile Kiprofessional like. Kumbe mapenzi hayataki mambo ya uprofession, kufanya mapenzi ni KUUACHIA mwili na akili viende vinavyotaka...Usiutune ubongo kwamba lazima hiki kianze ndo hiki kifuatie, au style hii kisha ile...HAPANA.

Kama siku hiyo umejikuta kifo cha mende kinakubali, JIACHIE...kama umekuta paka chongo, JIACHIE, ukikuta siku hiyo mzuka upo kwenye mbuzi kagoma, jiachieni kwa raha zenu.....usitake kulazimisha kifo cha mende.....Ukikuta siku hiyo ni mambo ye TEMBELE ndo yanakubali.,,jiachieni....tuepuke kudhani kwamba kuna FORMULA katika ufanyaji wa mapenzi....RELAX and do it accordingly.


Jengine, hili kwa wake/wapenzi wetu ni kwamba TUNAWAPENDA...hata kama ukiona mtu amefanya infidelity jua hiyo ni ya KUPITA lakini mambo yapo HOME ndo maana ukawepo in the first place, I mean hakuna mwanaume mwenye akili zake timamu anayefanya infidelity akiwa na hizia za mapenzi ya dhati ndani yake....LOVE inakuwa sehemu MOJA tu....

ni hayo tu kwa sasa!

tunaomba uthibitisho wa ''ki-sayansi''
infact tunaomba link za journal kutoka kwa gaijin
 
Asante shemeji.Ila sina uhakika na haniii wangu MSD kama nae atalipenda hili vazi la zamani.Nimekumisi lakini...hivi nimekukosea nini??????????


Shemeji....wala hakuna tatizo kabisa kuwa na amani.....MSD yeye kila ukifanyacho kwako haoni hasikii haambiwi.......(alininong'oneza ivyo)
 
ni kama biblia vile!
fl1 anataka tuongeze maneno kwenye sala ya ''BABA YETU''

Sala ya Baba yetu au Sala Ya Bwana?

Ntarudi tena kanisani kwa ajili ya Kipa-Imara.

SORTILEGIO!
-The Love Spell
''...well played,and well won..''
 
tunaomba uthibitisho wa ''ki-sayansi''
infact tunaomba link za journal kutoka kwa gaijin


In fact ningeshangaa kama mpwa usingeweka hii 'post'.... zile umeshazisoma ama zimekuwna'ngumu'?
 
Mmm... infedelity wakati mwingine watu huzamia na kusahau ndani. hahahaha..... umeongea kweli mapenzi yankuja tu yenyewe. kitu sumaku si mpaka maprofesion.
 
Sala ya Baba yetu au Sala Ya Bwana?

Ntarudi tena kanisani kwa ajili ya Kipa-Imara.

SORTILEGIO!
-The Love Spell
''...well played,and well won..''
sala ya bwana hiyo naona!hehehehehe.....
hivi matesha lini atapata ''u-juma kaseja?''
 
In fact ningeshangaa kama mpwa usingeweka hii 'post'.... zile umeshazisoma ama zimekuwna'ngumu'?
mezisoma zile!
nimelipia usd 35 kwa ajili ya zile journal!lakini sikuona hii kitu!....
wapi mamaaa la jouranal ''gaijin''?
 
sala ya bwana hiyo naona!hehehehehe.....
hivi matesha lini atapata ''u-juma kaseja?''
Anza kukusanya za mbuzi....Ahadi ni Deni.

Sasa turudi kwenye mada.... wewe huwa unajiachia na mshiki au mpaka usome ma-journals?

Alichosahau mtukufu hommie Kaizer, ni kutoihusisha Valuu katika tendo hilo takatifu.:smile-big:
 
I buy e'thing in Kaizer's post but infidelity no!NO!NO! i beg! i beg! ibeg x10
 
mezisoma zile!
nimelipia usd 35 kwa ajili ya zile journal!lakini sikuona hii kitu!....
wapi mamaaa la jouranal ''gaijin''?


nadhani ataingia muda sio mrefu bado 'amelala'.....ila sasa hii ni 'discipline' nyingine....
 
Back
Top Bottom